GE2025 Rais Samia amuondolea hadhi ya Ubalozi Ndg Humphrey Polepole

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Viongozi wa kiafrika bwana, sasa unatangaza kutengua uteuzi wa mteule aliyekuandikia barua ya kujiuzulu wiki kadhaa sasa?

Hapo labda kumvua hadhi ya ubalozi ndio kitu na taarifa sahihi kwa wakati huu.
​
 
Mnatuchanganya sasa, si alijiuzuru??
Inakuaje unamtengua!!
 
Kwaiyo akivuliwa ubalozi na hadhi ya ubalozi anarudisha Hela zetu alizokuwa anakula uko Malawi na baadae huko Cuba 🙃🙃🙃🙃🙃
 
Viongozi wa kiafrika bwana, sasa unatangaza kutengua uteuzi wa mteule aliyekuandikia barua ya kujiuzulu wiki kadhaa sasa?

Hapo labda kumvua hadhi ya ubalozi ndio kitu na taarifa sahihi kwa wakati huu.
​
Just imagine tunaongozwa na viongozi wa aina gani? Wamefungia Twitter ila wao wanendelea kutumia wanampostia nani wakati wamefunga? Chawa wanatumia platform iliyofungiwa na mpendwa kumsifia just imagine!
 
Ndio tatizo la watu wenye akili kukimbia siasa na kuziona hazina maana.​
 
Huku kama sio kutafuta kiki kwenye mitandao ni nini
 
Akili zingine bwana!!

Lengo ionekane yeye ndiye alitangulia kutengua hiyo July 16!!

Ilhali hivi majuzi waziri wa mambo ya nje alidai kuna mambo ya kisheria wanafuatilia kabla ya kuchukua hatua.
Slow slow hana maarifa,badala kupeleka barua ya kujiuzulu kwa mwajiri wake,serekali,apeleka mtandaoni,kwa hiyo.aliajiriwa kupitia mtandao?Akili ni mqli.
Sa100 kamuachisha kazi H.Polepole kwa manufaa ya CCM siyo UMMA.

UMMA unawahitaji watu wengi wa aina ya H.polepole
Slow slow
 
Nakula dinner subiri naona mambo yako speed sana, safiii sanaa..!! Polepole hana adabu
 
Mbona mabalozi wastaafu tunao wengi mtaani na viatu vimetoboka,hiyo asali iko wapi.
Matumizi mabaya ya pesa, umalaya, viongozi wengi wa zamani ni wajinga sana hawajui kesho.

Mfano yule balozi aliyewai kuwa waziri alafu balozi kipindi cha jk, lakini amefulia kiasi kwamba kimada wake kamfukuza anasema jamaa ni tapeli.

Ila wako wachache walio fanikiwa wana hisa ,makampuni,

We huoni Laurence Masha kafulia mpaka kaenda kutapeliwa kwa kiboko ya wachawi, ni kila MTU na utashi wake wa kutumia fursa vizuri aliyoipata kwa muda sahihi
 
Itakuwa ikulu mtandao unasumbua. Barua ya Polepole ndiyo wanaipata Leo?🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…