GE2025 Rais Samia amuondolea hadhi ya Ubalozi Ndg Humphrey Polepole

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nyumbu hamjawahi kuwa na akili ndo maana Mpina amewakimbia na kwenda act-wazalendo. Nyie mtabaki hivi hivi kucheza na kupiga ngoma msiyoijua............hiyo ndo CCM. Oktoba mapemaaaaaaaa!!!!
We chawa, huyu mamako akili kisoda...uwezo mdogo mnoo!!
 
Kituo kufuatacho ni kuzima internet. Episode loaded…….πŸ˜€
 
Huyu hata kuwa balozi wa nyumba kumi alikua hafai. Hii ya kumpa ubalozi Malawi Kisha Cuba ndio ilimfanya ubongo ukasinyaa na kuongeza ujinga.
 
Huyu hata kuwa balozi wa nyumba kumi alikua hafai. Hii ya kumpa ubalozi Malawi Kisha Cuba ndio ilimfanya ubongo ukasinyaa na kuongeza ujinga.
Wewe kichwa chako kitakuwa kimejaa magimbi, hiyo kauli yako ni sawa na kumtukana aliyemteua.

Siku nyingine ukitaka kuegemea upande wa asali Bora ukaushe tu
 
Ukimsikiliza Polepole hizi ni moves ambazo anazitegemea ata kufukuzwa chama, lakini sidhani kama ataacha kuongea baada ya hapo.

Kitendawili ni kwamba anaongea kwa kujiamini sana na Polepole ni mtu ambae anajua power za raisi na mwenyekiti wa CCM keshafanya kazi nao at senior level kwenye chama na serikalini.

Lazima nyuma yake ana back-up kubwa sana vinginevyo sio mpuuzi wa kujiamini vile kwa kumtegemea Warioba.
 
Huyu mama ni kichekesho. Huyo mtu ameshaondoka na hataki kazi yenu. Mnamfukuzaje? Mmechanganyikiwa.
 
Ijazwe na Abduli.
 
Wezi wanafanya maigizo, Pole pole, mpina ni planned mission ili kupoteza umma na issue ya NRNE, kama ilivyokuwa kwa Mamvi, Sumaye, tumewashtukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…