Rais Samia amuonya Mchengerwa

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
29,909
Reaction score
32,414
Rais Samia Suluhu Hassan amemuonya Waziri wa Tamisemi, Mohamed Mchengerwa na kumwambia kama hatawachukulia hatua viongozi wa chini yake wanaoshindwa kusimamia mapato ya serikali, atawachukulia hatua viongozi hao pamoja na waziri huyo.
Your browser is not able to display this video.
 
Mapato tu! Na wasiolipa madeni ya watu!

TAMISEMI ya Jafo ilikuwa afadhali kuliko hii ya sasa!

MaDED wameatamia pesa za watu hawalipi!
 
Waanu hapo anamuangalia Bi. Mkubwa anasema thubutuuuu!!!

Hii nchi ina vichekesho vingi sana🤣🤣🤣
 
Hahahhhqha nacheka sanaqaa ....jamaa alipotolewa maliasili wakamnuniaa mama yao zaidi mwezi hawakuongea kila sikuakipiga simu kusalimia wakujuuu walikuwa wanalia tuu nankusononekaaa....hili la leo ni igizonpiaaa mama hageuzi kwa WANU Akinuniwa tu ananyweaaa
 
Kwani TAMISEMI na maliasili wapi patamu?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…