Rais Samia ana mkosi?

Ni hali ya hewa tu kama ilivyotokea elnino 1998 enzi za mkapa au ilivyotokea vita 1978_1979 enzi za Nyerere
Au ilivyotokea Corona 2019 enzi za JPM
Gundu kivipi, kwani ukame uko Tanzania peke yake?
 
Kwahiyo awamu hii ndo misitu imeharibiwa? Na mfululizo wa ajali je? Vipi kuhusu mfumuko?
Sikia hii ng'ombe ingine...ajali zinasabishwa na overspeeding, madereva wazoefu ndio hufanya huo ujinga apo yeye anahusika nn?
Mfumuko wa bei hapo anahusika mojakwa moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…