Rais Samia anadai wakati tukio la kubomoka jengo Kariakoo linatokea alikuwa tayari safarini kule Brazil. Kaamua kutudanganya?

Rais Samia anadai wakati tukio la kubomoka jengo Kariakoo linatokea alikuwa tayari safarini kule Brazil. Kaamua kutudanganya?

Kuna watu katika awamu hii ya Samia mmechagua kuishi kwa hasira na chuki kubwa sana, poleni kwa ujumla.

Adanganye ili apate nini haswa?. Unajua ni mangapi makubwa anayoyafanya muda huu nchi nzima?.
Wewe ni mgeni hapa Tz itakuwa.
Tumeshadanganywa sana,tena na viongozi wakuu, tena wengine mpaka kwenye nyumba za ibada.
 
Katiba ni kijitabu tu kama ilivyo kifo ni kifo tu!!
 
Nachojua Tukio la ajali Kariakoo wakati linatokea Rais Samia alikuwa bado nchini, kaondoka nchini baada ya ya tukio kuwa tayari na taarifa alikuwa nayo, ila akapanda ndege kwenda Brazil, leo anasema wakati tukio linatukia alikuwa tayari safarini kwa nini anadanganya umma?

Taarifa ya Ikulu ilichapishwa saa 5 na dakika 57 kuwa anaagana na viongozi uwanja wa Ndege kwa ajili ya safari, ajali ya Kariakoo imeanza kuripotiwa Majira ya ya saa 3 Soma hapa. Asubuhi hiyo ya tarehe 16 Novemba 2024 ambapo Samia aliondoka majira ya saa 5 hivyo alikuwa bado nchini na alikuwa na uwezo wa kubaki nchini ila hakuona kuwa kubaki nchini lilikuwa ni chaguo bora kuliko yeye kwenda kwenda mkutano wa watu Brazil.

View attachment 3156964

Posti ya Ikulu ikionesha muda wa saa 5 Rais Samia alikuwa nchini.
View attachment 3156978
Pia soma:Rais Samia atembelea eneo la ajali ya ghorofa Kariakoo, asema vifo vimefikia Watu 20
So tumsikilize nani ili kupata ukweli???
 
Jana uliwashangaa viongozi wa upinzani kutofika eneo la tukio na kuomba dua wakiwa ofisini ili kuonesha tu kwamba ni watu wa kukosea na wasiojali. Bila shaka hujui maana ya dua. Leo mikojo inakushuka kwa kumtetea mtu ambaye alishindwa kutimiza wajibu wake kama mfariji mkuu.
Jana u/taifa watu zaidi ya ml 50 walikaa kimya kwa muda kuomboleza je wote walifika eneo la tukio kkoo?
Usiwapangie watu ati hayakuhusu? Ivi unajua maana ya kodi wewe kiazi? Hujui kwamba akisafiri ni kodi zetu? Yasituhisu kivipi?
Tuna nongwa sana watanzania. Umejuaje huko alipokuwa kama alikuwa haendelei kuongoza nchi na kutoa maagizo?.

Mkapa alipopata matatizo ya mguu kiasi cha kutibiwa Ulaya bado alikuwa ndiye rais wa nchi akitoa na kusimamia maagizo yote.

Tupunguze kuendekeza umbea unaojaa roho mbaya na chuki za kijinga.
 
Nachojua Tukio la ajali Kariakoo wakati linatokea Rais Samia alikuwa bado nchini, kaondoka nchini baada ya ya tukio kuwa tayari na taarifa alikuwa nayo, ila akapanda ndege kwenda Brazil, leo anasema wakati tukio linatukia alikuwa tayari safarini kwa nini anadanganya umma?

Taarifa ya Ikulu ilichapishwa saa 5 na dakika 57 kuwa anaagana na viongozi uwanja wa Ndege kwa ajili ya safari, ajali ya Kariakoo imeanza kuripotiwa Majira ya ya saa 3 Soma hapa. Asubuhi hiyo ya tarehe 16 Novemba 2024 ambapo Samia aliondoka majira ya saa 5 hivyo alikuwa bado nchini na alikuwa na uwezo wa kubaki nchini ila hakuona kuwa kubaki nchini lilikuwa ni chaguo bora kuliko yeye kwenda kwenda mkutano wa watu Brazil.

View attachment 3156964

Posti ya Ikulu ikionesha muda wa saa 5 Rais Samia alikuwa nchini.
View attachment 3156978
Pia soma:Rais Samia atembelea eneo la ajali ya ghorofa Kariakoo, asema vifo vimefikia Watu 20
Una uhakika muda iliyopostiwa inafanana na muda uliopigwa picha pia ni sawa na muda ambao tukio linatokea
 
Wakati tukio linatokea, alikuwa ameshaondoka ama la!!?

Hilo la kwenda Brazil kikazi tunalifahamu.
Kipi kimeharibika kwa yeye kutokuwepo muda wote ambao tukio limetokea?

Waziri Mkuu Majaliwa alikuwepo, RC Chalamila alikuwepo, JWTZ na JKT walifika kwenye tukio ndani ya saa moja tangu lilipotokea,

Hakuna kilichofanyika ambacho uwepo wa Rais ungeweza kusaidia ili kisitokee, watanzania tuna akili za ajabu sana.
 
Safari huwa zinaahirishwa au huwa zinakatishwa, issue ni jinsi kiongozi wa nchi anavyoipa umuhimu tragedy husika. Abdul angekuwemo kwenye kifusi hata kama huyo mama yenu angekuwa yuko angani ungefanyika utaratibu ipigwe U-turn ya dharura.
Na hapa ndio umedhihirisha hasa chuki zako,
Abdul bado siku zake, ikifika ataondoka tu, hata wewe, mimi, yule na yeyote awaye
Endeleza chuki bwashee
 
Kama ni kilaza ni kilaza dini yake inahusika nini? Mbona mnakuw ana inferiority complex? Magufuli alikosolewa na kila mtu. Huyu akikosolewa mnakimbilia kwenye dini. Mnajishtukia sana inaonekana dini yenu hamjiamini kabisa. So mnataka akiwa dini yenu asifiwe tu. Basi awe na akili.
Uwongo mkubwa, hakuna mkiristo alimkosoa magufuli kwa style wanavyomkosoa mama,

Ukweli unauma sana, hampendi kabisa, yaani mnafikiri hii ni inchi ya wakristo tu?

nyerere, mkapa na magufuli wametawala vibaya kupita kiasi, inchi mikononi mwao ilikuwa kama jehanamu lakini wamesifiwa na kupambwa kama hakuna baya,

kinyme chake sasa, almarhum Mwinyi, kikwete na hata Samia tunaona inchi na wananchi walivyo na wanavyoneemeka lakini bado hamkosi baya la kuwabandika
Ni chuki tu, lakini zinaisha kwa kunywa panadol tu
 
Sasa kibinadamu angekuwepo tungefufuka?

Mimi nilishapata msiba wa Karibu sana na milikwenda kwanza kwa mwajiri na kufanya makabidhiano ya kazi kwa siku nzima na kesho yake ndio nikafika nyumbani

Sikufa, sikufanya marehemu afufuke wala sikusimamisha msiba

Kwani Rais mwajiri wake ni nani?
 
Uwongo mkubwa, hakuna mkiristo alimkosoa magufuli kwa style wanavyomkosoa mama,

Ukweli unauma sana, hampendi kabisa, yaani mnafikiri hii ni inchi ya wakristo tu?

nyerere, mkapa na magufuli wametawala vibaya kupita kiasi, inchi mikononi mwao ilikuwa kama jehanamu lakini wamesifiwa na kupambwa kama hakuna baya,

kinyme chake sasa, almarhum Mwinyi, kikwete na hata Samia tunaona inchi na wananchi walivyo na wanavyoneemeka lakini bado hamkosi baya la kuwabandika
Ni chuki tu, lakini zinaisha kwa kunywa panadol tu

Acha kukimbilia sympath ya udini.
Ishu ni kwamba Rais kadanganya.
Ghorofa limeanguka Rais alikuwa hajasafiri alikuwa na uwezo wa kuhairisha safari sema tu hana uchungu na waajiri wake.
Inawezekana labda kwa sababu hiyo nafasi ameirithi baada ya aliyechaguliwa kufariki,
Wanasemaga mali ya kurithi haina uchungu
 
Singida mavuno ya alizeti yameongezeka,mama unaupiga mwingi
 
Safari za viongozi wakubwa zinapangwa wiki 1 na zaidi usidhani siku ya kupanda ndege ndio ilikua siku ya safari. Hizi safari za aina hiyo ni za kwetu sisi masikini

Mbona aliahirisha safari ya kwenda cuba?
Nayo si ilipangwa kwa muda mrefu.
Kwa hiyo kama safari imepangwa muda mrefu ndio haihairishwi kama kuna dharula?
Hapa ishu kubwa ni yeye kudanganya umma .
Ukweli ni kwamba Rais amejishtukia kwamba alichofanya ni makosa kwa yeye kuondoka nchini wakati kuna maafa sasa ameamua kujitetea kwa kusema uongo
 
So tumsikilize nani ili kupata ukweli???
Ukweli upo wazi hauhitaji kumsikiliza mtu ni wewe tu unaweza kufanya utafiti kujua ukweli ambao upo wazi
Tafuta mda ambao uliripotiwa jengo limeanguka tafuta radar flight data kuna mdau amepost hapo juu # 48 hii inaonyesha ndege imeondoka saa ngapi kutoka sehemu moja hadi nyingine.
Hapo utaujua ukweli
 
Hivi bado kuna raia wana imani na huyu Mama?
 
Acha kukimbilia sympath ya udini.
Ishu ni kwamba Rais kadanganya.
Ghorofa limeanguka Rais alikuwa hajasafiri alikuwa na uwezo wa kuhairisha safari sema tu hana uchungu na waajiri wake.
Inawezekana labda kwa sababu hiyo nafasi ameirithi baada ya aliyechaguliwa kufariki,
Wanasemaga mali ya kurithi haina uchungu
Ni udini tu, hapa bukoba kwenye majanga walikufa wengi sana na miundo mbinu kuharibiwa sana wakati wa mkiristo mwezenu, wacha kuwapoza,,na hela walizochangiwa walizila na hakuna mkiristo alimsema mjomba kwa style ya wanavyomsema mama

Kama sio udini ni nini?
 
Back
Top Bottom