residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Wewe ni mgeni hapa Tz itakuwa.Kuna watu katika awamu hii ya Samia mmechagua kuishi kwa hasira na chuki kubwa sana, poleni kwa ujumla.
Adanganye ili apate nini haswa?. Unajua ni mangapi makubwa anayoyafanya muda huu nchi nzima?.
So tumsikilize nani ili kupata ukweli???
Nachojua Tukio la ajali Kariakoo wakati linatokea Rais Samia alikuwa bado nchini, kaondoka nchini baada ya ya tukio kuwa tayari na taarifa alikuwa nayo, ila akapanda ndege kwenda Brazil, leo anasema wakati tukio linatukia alikuwa tayari safarini kwa nini anadanganya umma?
Taarifa ya Ikulu ilichapishwa saa 5 na dakika 57 kuwa anaagana na viongozi uwanja wa Ndege kwa ajili ya safari, ajali ya Kariakoo imeanza kuripotiwa Majira ya ya saa 3 Soma hapa. Asubuhi hiyo ya tarehe 16 Novemba 2024 ambapo Samia aliondoka majira ya saa 5 hivyo alikuwa bado nchini na alikuwa na uwezo wa kubaki nchini ila hakuona kuwa kubaki nchini lilikuwa ni chaguo bora kuliko yeye kwenda kwenda mkutano wa watu Brazil.
View attachment 3156964Pia soma:Rais Samia atembelea eneo la ajali ya ghorofa Kariakoo, asema vifo vimefikia Watu 20
Posti ya Ikulu ikionesha muda wa saa 5 Rais Samia alikuwa nchini.
View attachment 3156978
Rais alikuwa Brazil kikazi usisikilize upuuzi wa hii mada. Hawezi kuudanganya umma, ili apate nini?.Wewe ni mgeni hapa Tz itakuwa.
Tumeshadanganywa sana,tena na viongozi wakuu, tena wengine mpaka kwenye nyumba za ibada.
Tuna nongwa sana watanzania. Umejuaje huko alipokuwa kama alikuwa haendelei kuongoza nchi na kutoa maagizo?.Jana uliwashangaa viongozi wa upinzani kutofika eneo la tukio na kuomba dua wakiwa ofisini ili kuonesha tu kwamba ni watu wa kukosea na wasiojali. Bila shaka hujui maana ya dua. Leo mikojo inakushuka kwa kumtetea mtu ambaye alishindwa kutimiza wajibu wake kama mfariji mkuu.
Jana u/taifa watu zaidi ya ml 50 walikaa kimya kwa muda kuomboleza je wote walifika eneo la tukio kkoo?
Usiwapangie watu ati hayakuhusu? Ivi unajua maana ya kodi wewe kiazi? Hujui kwamba akisafiri ni kodi zetu? Yasituhisu kivipi?
Una uhakika muda iliyopostiwa inafanana na muda uliopigwa picha pia ni sawa na muda ambao tukio linatokea
Nachojua Tukio la ajali Kariakoo wakati linatokea Rais Samia alikuwa bado nchini, kaondoka nchini baada ya ya tukio kuwa tayari na taarifa alikuwa nayo, ila akapanda ndege kwenda Brazil, leo anasema wakati tukio linatukia alikuwa tayari safarini kwa nini anadanganya umma?
Taarifa ya Ikulu ilichapishwa saa 5 na dakika 57 kuwa anaagana na viongozi uwanja wa Ndege kwa ajili ya safari, ajali ya Kariakoo imeanza kuripotiwa Majira ya ya saa 3 Soma hapa. Asubuhi hiyo ya tarehe 16 Novemba 2024 ambapo Samia aliondoka majira ya saa 5 hivyo alikuwa bado nchini na alikuwa na uwezo wa kubaki nchini ila hakuona kuwa kubaki nchini lilikuwa ni chaguo bora kuliko yeye kwenda kwenda mkutano wa watu Brazil.
View attachment 3156964Pia soma:Rais Samia atembelea eneo la ajali ya ghorofa Kariakoo, asema vifo vimefikia Watu 20
Posti ya Ikulu ikionesha muda wa saa 5 Rais Samia alikuwa nchini.
View attachment 3156978
Wakati tukio linatokea, alikuwa ameshaondoka ama la!!?Rais alikuwa Brazil kikazi usisikilize upuuzi wa hii mada. Hawezi kuudanganya umma, ili apate nini?.
Kipi kimeharibika kwa yeye kutokuwepo muda wote ambao tukio limetokea?Wakati tukio linatokea, alikuwa ameshaondoka ama la!!?
Hilo la kwenda Brazil kikazi tunalifahamu.
Na hapa ndio umedhihirisha hasa chuki zako,Safari huwa zinaahirishwa au huwa zinakatishwa, issue ni jinsi kiongozi wa nchi anavyoipa umuhimu tragedy husika. Abdul angekuwemo kwenye kifusi hata kama huyo mama yenu angekuwa yuko angani ungefanyika utaratibu ipigwe U-turn ya dharura.
Uwongo mkubwa, hakuna mkiristo alimkosoa magufuli kwa style wanavyomkosoa mama,Kama ni kilaza ni kilaza dini yake inahusika nini? Mbona mnakuw ana inferiority complex? Magufuli alikosolewa na kila mtu. Huyu akikosolewa mnakimbilia kwenye dini. Mnajishtukia sana inaonekana dini yenu hamjiamini kabisa. So mnataka akiwa dini yenu asifiwe tu. Basi awe na akili.
Sasa kibinadamu angekuwepo tungefufuka?
Mimi nilishapata msiba wa Karibu sana na milikwenda kwanza kwa mwajiri na kufanya makabidhiano ya kazi kwa siku nzima na kesho yake ndio nikafika nyumbani
Sikufa, sikufanya marehemu afufuke wala sikusimamisha msiba
Uwongo mkubwa, hakuna mkiristo alimkosoa magufuli kwa style wanavyomkosoa mama,
Ukweli unauma sana, hampendi kabisa, yaani mnafikiri hii ni inchi ya wakristo tu?
nyerere, mkapa na magufuli wametawala vibaya kupita kiasi, inchi mikononi mwao ilikuwa kama jehanamu lakini wamesifiwa na kupambwa kama hakuna baya,
kinyme chake sasa, almarhum Mwinyi, kikwete na hata Samia tunaona inchi na wananchi walivyo na wanavyoneemeka lakini bado hamkosi baya la kuwabandika
Ni chuki tu, lakini zinaisha kwa kunywa panadol tu
Safari za viongozi wakubwa zinapangwa wiki 1 na zaidi usidhani siku ya kupanda ndege ndio ilikua siku ya safari. Hizi safari za aina hiyo ni za kwetu sisi masikini
Ukweli upo wazi hauhitaji kumsikiliza mtu ni wewe tu unaweza kufanya utafiti kujua ukweli ambao upo waziSo tumsikilize nani ili kupata ukweli???
Ni udini tu, hapa bukoba kwenye majanga walikufa wengi sana na miundo mbinu kuharibiwa sana wakati wa mkiristo mwezenu, wacha kuwapoza,,na hela walizochangiwa walizila na hakuna mkiristo alimsema mjomba kwa style ya wanavyomsema mamaAcha kukimbilia sympath ya udini.
Ishu ni kwamba Rais kadanganya.
Ghorofa limeanguka Rais alikuwa hajasafiri alikuwa na uwezo wa kuhairisha safari sema tu hana uchungu na waajiri wake.
Inawezekana labda kwa sababu hiyo nafasi ameirithi baada ya aliyechaguliwa kufariki,
Wanasemaga mali ya kurithi haina uchungu
Tupo wengi tu,Hivi bado kuna raia wana imani na huyu Mama?