Rais Samia anadanganywa, kutawala nchi kuanzia 2026 ni mzigo

Hii nchi ya mitandao na Watanzania pamoja na kwamba wapo slow wamesha anza kugawanyika hasa vijana. Haitakuwa rahisi kama mnavyofikiria na tatizo sio chadema bali watanzania wamenadilika. Askari pekee hawatatosha
Upo sahihi
 
Ila Roma Mkatoliki alishaimba hii kitu kuhusu TV kuwa magogoni, na rimoti yake kuwa Msoga. Bila shaka kuna kitu muhimu sana alimaanisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…