Rais Samia anafanya kazi kwa weledi sioni upinzani kama una tija kwa sasa

Binafsi nimetoa ushauri ambao utatusaidia kulijenga taifa letu.Rais ameonyesha nia ya kutatua Kero nyingi ambazo hata hao wapinzani walikua wakizipigia kelele sasa kwanini tena apingwe?
Kupingwa ni kawaida tu. Na ndio maana ya siasa za vyama vingi.
Asipingwe yeye nani
 
Hapa hakuna upinzani Hawa Ni wapigaji tu mkuu alafu ndo wapewe nchi itakuaje?
Ila tumikopo tumezidi,ubunifu wa mapato Ni wa enzi za mwalimu,tunaogopa kuwekeza kwenye kilimo,kilimo kitatuokoa ujue
 

La msingi zaidi ni kuwa ni kwa maneno tu kuwa yeye na bwana yule ni wale wale ila si kwa vitendo!

Wasiojulikana wameyeyuka, shabaya yuko mahali salama, kondakta na wenziwe wanapumulia mashine, Ray C yuko njiani kurejea Njombe, nk nk.

Mola atupe nini tena? Labda katiba mpya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…