Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Kazi na utu tunasonga ugaliKweli KAZI na utu,tunasonga mbele!
Na ukimkorofisha mkeo usiku lazima akunyime🤣Mwenye Masikio kasikia Rais amesema tumejipanga kweli kweli the best speech ever hakua na time ya ku please mtu ameongea kama kiongozi wa nchi. Mtakoma!
Mademu wazuri ndo hupiganiwaNa ukimkorofisha mkeo usiku lazima akunyime🤣
Na wewe mzee unaelia leo kijana wako alikufa, ulikuwa wapi kumkataza asitoke?.... SSH 2/12/2025Hamna Rais hapa! Rais anachamba kama Mwajuma wa uswahilini