S stonecutter JF-Expert Member Joined Jun 12, 2022 Posts 2,446 Reaction score 3,616 Dec 2, 2025 #21 Mshana Jr said: Na wewe mzee unaelia leo kijana wako alikufa, ulikuwa wapi kumkataza asitoke?.... SSH 2/12/2025 Click to expand... Shetani yupo kwenye kiti cha enzi.
Mshana Jr said: Na wewe mzee unaelia leo kijana wako alikufa, ulikuwa wapi kumkataza asitoke?.... SSH 2/12/2025 Click to expand... Shetani yupo kwenye kiti cha enzi.
M Mtanke JF-Expert Member Joined Nov 19, 2011 Posts 821 Reaction score 2,099 Dec 2, 2025 #22 Leo mama akiwa amevaa kofia ya Urais amewadanganya Wazee wa mkoa wa Dar es salaam waziwazi bila woga wala aibu . Mfano ni kuhusu zoezi la uchaguzi na idadi ya kura. Huu ni ukosefu wa maadili ya uongozi. Kusema Uongo
Leo mama akiwa amevaa kofia ya Urais amewadanganya Wazee wa mkoa wa Dar es salaam waziwazi bila woga wala aibu . Mfano ni kuhusu zoezi la uchaguzi na idadi ya kura. Huu ni ukosefu wa maadili ya uongozi. Kusema Uongo
Nanren JF-Expert Member Joined May 11, 2009 Posts 3,904 Reaction score 4,667 Dec 2, 2025 #23 Mtanke said: Leo mama akiwa amevaa kofia ya Urais amewadanganya Wazee wa mkoa wa Dar es salaam waziwazi bila woga wala aibu . Mfano ni kuhusu zoezi la uchaguzi na idadi ya kura. Huu ni ukosefu wa maadili ya uongozi. Kusema Uongo Click to expand... Ni wazee wa dar. Waache wadanganywe. Sisi wazee wa mitaa ya mkendo hapa musoma tusingedanganywa kirahisi.
Mtanke said: Leo mama akiwa amevaa kofia ya Urais amewadanganya Wazee wa mkoa wa Dar es salaam waziwazi bila woga wala aibu . Mfano ni kuhusu zoezi la uchaguzi na idadi ya kura. Huu ni ukosefu wa maadili ya uongozi. Kusema Uongo Click to expand... Ni wazee wa dar. Waache wadanganywe. Sisi wazee wa mitaa ya mkendo hapa musoma tusingedanganywa kirahisi.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Dec 3, 2025 #24 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw