Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Ni dhahiri Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT, anaifungua nchi kitaifa na kimataifa.
Hivi sasa, Taifa lina pumzi freshi tena mpya ya kitofauti kabisa, fursa za kila aina zimefunguka kitaifa na kimataifa kwa mipango na mikakati ya Rais huyu kipenzi cha dunia nzima. Mazingira mazuri ya na tulivu sana ya kufanya siasa, biashara, kilimo, uwekezaji, utalii, ufugaji n.k
Amani na ulinzi wa mipaka ya nchi, wawaekezaji, watu na mali zao ni wa uhakika na wa kupigiwa mfano...
maraisi na wafalme duniani wanatamani kua na uhusiano na Tanzania. Na hivi sasa rais Dr. Samia Suluhu Hassan, amekua na mialiko mingi mno ya kimataifa, na ratiba yake imekua ya kazi nyingi sana kwa maslahi mapana ya Tanzania na wananchi wake wote.
Mungu Ibariki Tanzania