Rais Samia anaiwakilisha Tanzania na kuipasha nchi vizuri sana Kimataifa

Inamaana ulikua humwelewi JPM!?.
 
Watano zangu CHADEMA watapinga maana kwa sasa wamechanganyikiwa kabisa na kujawa na hasira muda wote .ndio maana wakiguswa hata na upepo tu wanaanza kuporomosha matusi kama yote
 
Kazi nzuri sana Mama Samia
 
Hahaha...
Duh, Kumbe Tlaatlaah ni mtoro huko halafu anasumbua humu!!!
 
inchi gani haina mikopo duniani?

unapiga hatua za kimaendeleo kama nchi bila mikopo hata kama una kila kitu?

maoni na mtazamo si kitu mbaya, ila ni lazima kukopa ili kuendelea
Mikopo muitumie vizuri tu

Ova
 
Please, tumechoka na mabango yenu. Barabara zote zimejaa mabango na humu tena.
 

Kama vile mambo yameumana.
 
Naona Wazanzibar mmejaa humu kumtetea mwenzetu!!

Sisi Watanganyika tuneshawastukia
 
Ni kweli Marais na Wafalme wanatamani kuwa na uhusiano na Tanzania Kwa sababu na wao wanatamani kujimegea vipande vya Tanganyika kama ilivyofanyika Kwa Waarabu na Sasa wakorea
 
Chawa mpya kazini
 
Imetunzwa kwa matumizi ya Siku za usoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…