Rais Samia anaiwakilisha Tanzania na kuipasha nchi vizuri sana Kimataifa

Chawa mpya kazini
usijiskie vibaya kamanda, malizeni rushwa na hongo kwanza kwenye chaguzi ndogo ndogo za chama chenu,

haya mambo ya nchi iachieni CCM chini ya Rais makini sana Dr.Samia Suluhu Hassan wanyoroshe mambo ya maendeleo ya wanainchi πŸ’
 
Ni kweli Marais na Wafalme wanatamani kuwa na uhusiano na Tanzania Kwa sababu na wao wanatamani kujimegea vipande vya Tanganyika kama ilivyofanyika Kwa Waarabu na Sasa wakorea
uhuru wa kutoa maoni, itabaki haki na uhuru wako, lakini haiwezi kuzuia wala kudhoofisha jitihada na kazi kubwa sana ya maendeleo ambayo inafanyika kitaifa na kimataifa, chini ya Serikali sikivu ya CCM lakini pia chini ya kiongozi madhubuti sana Dr Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT πŸ’
 
usijiskie vibaya kamanda, malizeni rushwa na hongo kwanza kwenye chaguzi ndogo ndogo za chama chenu,

haya mambo ya nchi iachieni CCM chini ya Rais makini sana Dr.Samia Suluhu Hassan wanyoroshe mambo ya maendeleo ya wanainchi πŸ’
Mtumie fedha vizuri ohohhh

Ova
 
Hahaha...
Duh, Kumbe Tlaatlaah ni mtoro huko halafu anasumbua humu!!!
hiyo si muhimu sana,
ile ya maana ni maendeleo ya nchi na maendeleo ya waTanzania. Na Rais anafanya kazi nzuri sana kitaifa na kimataifa kwa maslahi mapana ya waTanzania wote....

hiyo porojo na stori ingine ni useless na ni none sense usizubae na kubabaika nayo πŸ’
 
Huo ndiyo ukweli. Ni nchi 3 tu ndiyo beneficiary wa South Korean Africa concession loans ikiwapo Ethiopia na Kenya.
 
Gari za milioni 100+ zinaongezeka kwa wingi sana kitaa
kama ile ya yule mwanasiasa alieomba kuchangiwa gari anayotaka ya m.100 sio?

biashara imefunguka, uchumi umeimarika, zidisha juhuhud katika kufanya kazi, yote yanawezekana kwa Neema na Baraka za Mungu πŸ’
 
πŸ˜„ sinema hizo

Ova
mawazo na mtazamo wako ni haki na uhuru wako, lakini kama Taifa, chini ya Rais Dr Samia Suluhu Hassan tunasonga mbele tu katika kuwaletea maendeleo waTanzania πŸ’
 
Huo ndiyo ukweli. Ni nchi 3 tu ndiyo beneficiary wa South Korean Africa concession loans ikiwapo Ethiopia na Kenya.
wengi hawana ufahamu na uelewa wa kutosha juu ya ukweli huo, nadhani ndio maana wanababaika na negativity ambazo si muhimu hata kidogo πŸ’
 
Ni kweli maana kukopa nako ni kupaishwa. Majizi huko ccm yanachekelea tu maana yamepata hela ya kuhonga wajinga Ili yasalie madarakani.
 
Zee la hovyo kabisa kumbe hili eeeh
 
Wakati wa Magufuli Wafalme mbona walikuwa wanakuja ati

Na Mdundiko ulipigwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wajinga na mashetani mpo wengi nchi hii. Anaipaisha kwa kuipiga mnada? Zombie kabisa wewe na jimama lako
 
Baadae tutajilaumu kuwa na wanachi wenye mawazo mfu kama hawa.
 
mawazo na mtazamo wako ni haki na uhuru wako, lakini kama Taifa, chini ya Rais Dr Samia Suluhu Hassan tunasonga mbele tu katika kuwaletea maendeleo waTanzania πŸ’
Hahahahaha ok

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…