Rais Samia anajiharibia mwenyewe

Inavyoonekana Samia ni muumini wa ma chawa jambo ambalo ki uhalisia wanamdanganya kuliko kumweleza ukweli.

Kwa yanayoendelea Nchini, ni wazi wapo wapuuzi wanamdanganya apuuze.

Rais Samia anajiharibia mwenyewe kwa kujitakia.
Yanayoendelea Nchini ni haya hapa πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/twendenamama/status/1825516331375927614?t=m5mqRBoihugHjAmzJUz4rg&s=19
My Take: Kama huku ndio kujiharibia basi aongeze juhudi maana anajiharibua Kwa faidia ya Watanzania

View: https://twitter.com/twendenamama/status/1825855277519753537?t=2kT6LmRn6GuDRdSGVVj0WA&s=19
 
hakuna anaemuharibia wala anaemdanganya ukweli ni kwamba uwezo ni mdogo kwahyo wajanja wanatumia fursa kujipigia aka kula urefu wa kamba.

Mtu mzima unasemaje anadanganywa ?! Yani pale hakuna kitu. Akisifiwa tu anatoa wanawake ndio walivyo hata Dubai waliweka picha yake kwenye jengo la Buji Khalifa akawapa Bandari na Ngorongoro
 
Inavyoonekana Samia ni muumini wa ma chawa jambo ambalo ki uhalisia wanamdanganya kuliko kumweleza ukweli.

Kwa yanayoendelea Nchini, ni wazi wapo wapuuzi wanamdanganya apuuze.

Rais Samia anajiharibia mwenyewe kwa kujitakia.
Hao washauri siyo kwamba hawajui kuwa ushauri wao unamharibia Samia. Wanaojua, lkn wanafanya hivyo kwa sababu ya kutaka "mambo yaharibike sana" ili Samia asigombee 2025
 
2024-2025 miradi walioanzisha wkt wa kampeni za 2010/2015 yote watagusa au kumalizia then wajekuomba kura ikiisha mtasubiria tena atakaekuja 2030 Hio ndio cycle ya siasa Africa
 
2024-2025 miradi walioanzisha wkt wa kampeni za 2010/2015 yote watagusa au kumalizia then wajekuomba kura ikiisha mtasubiria tena atakaekuja 2030 Hio ndio cycle ya siasa Africa
2025 Kuna Ilani Mpya inaandikwa ,hiyo ya kusubiria wewe umeitoa wapi? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nasisitiza kama huku ndio kujiharibia basi aongeze Kasi ya kujiharibia πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/KlabpLSrY0M?si=Bt63dG-SeHHzEb9n
Nakukumbusha tuu kwamba Vijiji vyote Samia amefikisha Umeme ,Sasa ni Vitongoji vyote πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C-7RLTtN_1S/?igsh=MWNwOXh2cjgwZTllNQ==
 
Hakuna raisi aliwahi kizarauliwa kama huyu .
Ni juhudi za kanisa, ila wasichojua ni kwamba kanisa haliendi bila ccm, kwahiyo watakaopoteza sana ni kanisa wala si wengine,
Na ndio maana wagalatia hawataki ccm itoke bali mama tu atoke kwa ajili tu ya udini, ila ukiwaambia wapeni chadema hawataki
 
Mimi ninalia na uwanja wa ndege wa kimataifa Mwanza na barabara njia 4 za Nyanguge Mwanza jiji na Misungwi Jiji. Miradi hii isipoisha na kwenye Ilani isionekane tutahoji vya kutosha kabla ya kupiga kura. Asanteni wabunge
 
Rais Samia hana shida maana hajawahamisha yeye bali wanahamishwa na Mamlaka ya Ngorongoro.
 
 
Magufuli alikuwa akipita sehemu viongozi wa umma almanusura wajikojolee.
Wengine walidiriki kukuita Mh. Mungu.
Wengine walisema Magufuli ni zaidi ya Yesu au Muhammad.
TV zote na redio zilikuwa busy kumnadi Magufuli.
Wengine walihisi hatakufa.
Ila alizimwa shwaaa
Yaani ghafla tu shwaaa
Mtaweza nyie?
Kila Ijumaa makanisani watu walikesha kumuombea maisha marefu lakini Mungu aliyakataa maombi yao.
Nyie hamtaweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…