Rais Samia anakubali kuwa Rais Magufuli aliambukizwa UVIKO-19?

Ni wenge tuu.hakuelewa alichoitikia.Anayemhoji naye ni mjanjamjanja hivi. wakati wa magufuli covid haikuwepo mpaka alipofariki ndiyo ikaingia kwa kasi bongo
Unachekesha kweli!!! Kwamba covid haikuwepo????!!!!
 
Kama kulikuwa na tatizo hilo kwa nini hiyo sehemu haikuondolewa au haikuwa edited kabla ya kusambazwa? Mimi siamini kama eti hakuelewa alichoulizwa
 
Pengine hakumaanisha kuwa Rais JPM alikufa kwa covid19, ni presha tu ya mahojiano na maswali mbele ya kamera.

Ingawa JPM anaweza kweli akawa alikufa kwa Covid. Wasaidizi wake wawili wa karibu walikufa kwa ugonjwa huo, na yeye kufuatia sio suala la ajabu.
 
Kama kulikuwa na tatizo hilo kwa nini hiyo sehemu haikuondolewa au haikuwa edited kabla ya kusambazwa? Mimi siamini kama eti hakuelewa alichoulizwa

Tangu lini serikali yetu ina utaratibu wa kupitia vitu na kufanya marekebisho? Kuna kauli ngapi za viongozi zinatakiwa kufanyiwa marekebisho na hazifanyiwi?

Na unajuaje mkataba wa documentaries za Royal Tour kuhusu nani anafanya editing?

Hao wasaidizi wa rais ambao nao wana matatizo hayohayo aliyo nayo rais unajuaje kama waliona hili kama tatizo?

Kwa hivyo unasema SSH alielewa na kukubali kwamba Magufuli kafa baada ya kuambukizwa Covid-19? Implications ikiwa kwamba kafa kwa Covid-19?

Baada ya yeye mwenyewe Samia Sul8hu Hassan kusema kwamba Magufuli hajafa kwa Covid-19, bali kwa matatizo ya moyo?

How contradictory is that?

 
Kwa nini hamjawashtaki hao waliommaliza?
 
Una uelewa mdogo Sana, Rais anajua alichojibu na ametoa jibu fupi kwa sababu inaonekana hajataka kuongelea Hilo swali kiundani ,Kuna uwezekano behind the scene alimkataza huyo mzungu kuendelea na Hilo Jambo au alijibu kwa urefu ila ika editiwa ili kutoleta zengwe
 
Watu wengi waliokuwa karibu na Magu walichezewa michezo ya kifo bila wao kujua na mwisho wakammaliza na yeye kabisa kuna doktor mhimbili ana ulinzi wa usalama kamuulizeni alichofanya lkn siku moja kitanuka...
 
Move imeandaliwa kumdhihaki Magu hujui tu...
 
Ile ilikuwa haina ubishi ni covid au something of the kind ! Kutokana na underlying heath problems alizokuwanazo na jinsi alivyokuwa akijiexpose sometimes bila wasiwasi wowote ile ilikuwa ni great risk kwake !!
 
Kwani kila anayeambukizwa COVID anakufa?
 
Wewe ndio unatatizo na lugha ya king'eng'e huelewi chcochote hata kitu gani alikuwa anahojiwa nacho
Ku contract Covid ndio kufariki kwa Covid? Huko UVCCM English course hawatoagi kwani? Elimu ndogo alafu unajiita intelligence? What a joke
 
Petrol atakuwa agent wa CIA amekuja kwa njia ya kutengeza mambo hadi sasa kajua tunapoficha nyara za pembe za ndovu, chezea CIA isee.
 
W
Ww mwenyewe kinakupiga chenga. Sio contacted ni contracted. Wabongo wote kiingereza hamjui.
bora hata wewe umemwambia mimi nimeona sina hata haja ya kumwambia mtu mjinga anayejifanya mjuaji. Nipo zangu hapa kwa bibi UK naona jinsi wanavyojifanya wajuaji
 
Atakayeweza kuthibitisha kifo cha JPM ni mlinzi wake tu. So tulia kimya ww bado mdogo kwenye siasa.
Mlinzi ana Elimu ya utabibu? anayeweza kujua ni daktari wake ambaye Keshambrief Rais Samia sasa huyo mlinzi anajua nini??? Huyo mlinzi ni nobody the day Jpm anazikwa ndio habari yake imeishia hapo hata ikulu ni off limits kwake!!!
 
Katika Royal Tour documentary yule bwana Piere anamwambia mama kwamba marehemu Jiwe 'he contracted covid' naona mama akajibu Yes ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…