Una uelewa mdogo Sana, Rais anajua alichojibu na ametoa jibu fupi kwa sababu inaonekana hajataka kuongelea Hilo swali kiundani ,Kuna uwezekano behind the scene alimkataza huyo mzungu kuendelea na Hilo Jambo au alijibu kwa urefu ila ika editiwa ili kutoleta zengwe