Rais Samia anakubali kuwa Rais Magufuli aliambukizwa UVIKO-19?

Rais Samia anakubali kuwa Rais Magufuli aliambukizwa UVIKO-19?

Una uelewa mdogo Sana, Rais anajua alichojibu na ametoa jibu fupi kwa sababu inaonekana hajataka kuongelea Hilo swali kiundani ,Kuna uwezekano behind the scene alimkataza huyo mzungu kuendelea na Hilo Jambo au alijibu kwa urefu ila ika editiwa ili kutoleta zengwe
That is stupid of you! UNawezaje kusema nina uelewa mdogo halafu misingi ya argument yako ni kuandika .. kuna uwezekano... so speculative! Yaani una hisia tu halafu unaadika kumtetea mtu. Behind the scene! The scene ya Nyoko!!
 
... mdogo mdogo MATAGA & Co; wataelewa tu. Ubishi mwingi akili punje ya haradali. Kauli rasmi kutoka kwa Rais na Amri Jeshi Mkuu vyombo vya ulinzi na usalama ambaye taarifa zote za taifa hili ziko mikononi mwake! Nani anapinga kauli ya Amiri Jeshi Mkuu?
Kwahiyo hata ile ya Mbowe kuhusu ugaidi Alikua sahihi?
 
Back
Top Bottom