Rais Samia anakuja "kufunika" tena Nanenane Mbeya

Tukusanye wanaccm Tanzania Nyanda za juu kusini lakini msala wa bandari sisi wanaccm unataka kutugharimu
 
Tukusanye wanaccm Tanzania Nyanda za juu kusini lakini msala wa bandari sisi wanaccm unataka kutugharimu
Nafikiri kwa upinzani kwa huo mradi wa Bandari CCM kisha badili gia angani na imewasikiliza wananchi.
 
Hilo limama lenu, nasikia ni lijizi kama zee la msoga,
Lenyewe na familia yake linatumia pesa ya, nchi kwa matumizi, binafsi vibaya Sana, watoto wake na marafiki zao, huwa wanasafiri kwa gharsma za nchi kwenda kula bata
 
Kwani wewe ndo wale vichaa waliosemwa na Magufuli?
 
Unashangilia ku-host mikutano na kupanga hiki na kile au kufanya hiki (yaani show-off) wakati ukweli wa haya mambo unapimwa ground...

Mkulima kupata value kwa kazi yake na mlaji kupata value for money (jambo ambalo kitaa watu wanalalamika gharama za chakula na mkulima anachanganywa mara auze nje mara asiuze mara atafute vibali mara atunze chakula) yaani in short ni kizungumkuti...
 
Tukusanye wanaccm Tanzania Nyanda za juu kusini lakini msala wa bandari sisi wanaccm unataka kutugharimu
Inakugharimu kivipi?

Makubaliano tayari na sasa tunasubiri uwekezaji uanze tuanze kufaidika. Hakuna kuchelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…