Pre GE2025 Rais Samia anamwaga tu pesa. Ampa TSh. Milioni 2 Dulla Mbabe licha ya kudundwa

Pre GE2025 Rais Samia anamwaga tu pesa. Ampa TSh. Milioni 2 Dulla Mbabe licha ya kudundwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Knockout ya Mama: Rais Samia aguswa na Dulla Mbabe, ampa Tsh Milioni 2 kama zawadi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa zawadi ya Tsh Milioni 2 kwa ajili ya Dulla Mbabe ambaye amepoteza pambano lake dhidi ya bondia kutoka Zambia.

Akizungumza katika tukio hilo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, amesema mapambano ya leo hayana mkanda, hivyo Rais ametoa pesa hiyo kama zawadi kwa mabondia wanaopambana kwa ajili ya kuipeperusha bendera ya nchi.

Hata hivyo, Msigwa alisema mabondia wengine ambao wameshinda wamepewa Tsh Milioni 1 kama zawadi.
 
Kila nikiona au kusikia habari hizi nafarijika. Upande wa pili wa shilingi nawakumbuka vijana ambao kwa miaka 10 wako unemployed Watanganyika Mungu atusadie.
 
Hiyo ni hela ndogo mno! Hivyo ni vijisenti tu,hata Mkurugenzi wa Halmashauri angeitoa tu.
HIzo motisha anazotoa wakati mwingine ni hela yake.
 
Back
Top Bottom