johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Ulipitia JKT miezi 9? 🐼Hawa koroboi nao umawaweka kwenye kundi la mashujaa?

Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi leo katika maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Mashujaa yanayofanyika kwenye Uwanja wa Mnara wa Mashujaa, Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma.
View: https://www.youtube.com/live/vvJ8gjVKhns?si=w7pu2HxrbmchZaTX
Kila tarehe 25 Julai ya kila mwaka Tanzania huadhimisha siku ya Mashujaa
Tanzania huadhimisha Siku ya Kuwakumbuka Mashujaa waliopoteza maisha yao wakiutetea, kuupigania na kuulinda uhuru wa Tanzania kila ifikapo Julai 25 ya kila mwaka. Siku hii ya kuwakumbuka mashujaa huambatana na shughuli mbalimbali ikiwemo dua na sala maalum ya kuwaombea mashujaa waliopoteza maisha na kuiombea amani nchi kutoka kwa viongozi wa dini. Pamoja na hayo hufanyika gwaride maalum kwa ajili ya mashujaa wetu.
View attachment 3418054
Wageni mbalimbali wanaendelea kuwasili katika uwanja wa Mnara wa mashujaa, Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi wamewasili katika uwanja wa Mnara wa mashujaa, Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma.
Mgeni rasmi Rais Samia amewasili
Samia Suluhu Hassan ni Rais wa sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)wamewasili katika uwanja wa Mnara wa mashujaa, Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma.
Unikome sasa , L na R ,ipo na umuhimu gani katika nchi?Sijakufundisha mwandiko, nimekufundisha matumizi ya L na R.
Mnatick kwani mnategemea kura?Amerudi lini kutoka kizimkaz!!?
Spinning ya Nini hii kimtandao!!?
Kuna ukimya mwingi wa kutoaminika!
Oktoba tuna tick!
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi leo katika maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Mashujaa yanayofanyika kwenye Uwanja wa Mnara wa Mashujaa, Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma.
View: https://www.youtube.com/live/vvJ8gjVKhns?si=w7pu2HxrbmchZaTX
Kila tarehe 25 Julai ya kila mwaka Tanzania huadhimisha siku ya Mashujaa
Tanzania huadhimisha Siku ya Kuwakumbuka Mashujaa waliopoteza maisha yao wakiutetea, kuupigania na kuulinda uhuru wa Tanzania kila ifikapo Julai 25 ya kila mwaka. Siku hii ya kuwakumbuka mashujaa huambatana na shughuli mbalimbali ikiwemo dua na sala maalum ya kuwaombea mashujaa waliopoteza maisha na kuiombea amani nchi kutoka kwa viongozi wa dini. Pamoja na hayo hufanyika gwaride maalum kwa ajili ya mashujaa wetu.
View attachment 3418054
Wageni mbalimbali wanaendelea kuwasili katika uwanja wa Mnara wa mashujaa, Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi wamewasili katika uwanja wa Mnara wa mashujaa, Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma.
Mgeni rasmi Rais Samia amewasili
Samia Suluhu Hassan ni Rais wa sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)wamewasili katika uwanja wa Mnara wa mashujaa, Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma.
CDF Mkunda ameweka sime kwenye mnara wa mashujaa
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob John Mkunda ameweka akiweka Sime kwenye Mnara wa Mashujaa katika Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa Mtumba Jijini Dodoma, leo tarehe 25 Julai, 2025.
Rais Samia Suluhu Hassan ameweka Mkuki na Ngao kwenye mnara wa mashujaa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka Mkuki na Ngao kwenye Mnara wa Mashujaa katika Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa Mtumba Jijini Dodoma, leo tarehe 25 Julai, 2025.
Unaogopa Nini mkuu!!?Raise anaadhimisha kumbu kumbu ya mashujaa wewe unamugopa shujaa badala ya kumpongeza!!?Nacheka huku naogopa
Ni bora niwe humu ila sio kuiona ile sura panaNdio maana nakushangaa kukuona humu!
Kwa sababu were unaonaUnikome sasa , L na R ,ipo na umuhimu gani katika nchi?
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi leo katika maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Mashujaa yanayofanyika kwenye Uwanja wa Mnara wa Mashujaa, Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma.
View: https://www.youtube.com/live/vvJ8gjVKhns?si=w7pu2HxrbmchZaTX
Kila tarehe 25 Julai ya kila mwaka Tanzania huadhimisha siku ya Mashujaa
Tanzania huadhimisha Siku ya Kuwakumbuka Mashujaa waliopoteza maisha yao wakiutetea, kuupigania na kuulinda uhuru wa Tanzania kila ifikapo Julai 25 ya kila mwaka. Siku hii ya kuwakumbuka mashujaa huambatana na shughuli mbalimbali ikiwemo dua na sala maalum ya kuwaombea mashujaa waliopoteza maisha na kuiombea amani nchi kutoka kwa viongozi wa dini. Pamoja na hayo hufanyika gwaride maalum kwa ajili ya mashujaa wetu.
View attachment 3418054
Wageni mbalimbali wanaendelea kuwasili katika uwanja wa Mnara wa mashujaa, Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi wamewasili katika uwanja wa Mnara wa mashujaa, Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma.
Mgeni rasmi Rais Samia amewasili
Samia Suluhu Hassan ni Rais wa sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)wamewasili katika uwanja wa Mnara wa mashujaa, Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma.
CDF Mkunda ameweka sime kwenye mnara wa mashujaa
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob John Mkunda ameweka akiweka Sime kwenye Mnara wa Mashujaa katika Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa Mtumba Jijini Dodoma, leo tarehe 25 Julai, 2025.
Rais Samia Suluhu Hassan ameweka Mkuki na Ngao kwenye mnara wa mashujaa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka Mkuki na Ngao kwenye Mnara wa Mashujaa katika Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa Mtumba Jijini Dodoma, leo tarehe 25 Julai, 2025.
Ni uzwazwa mkubwa kuwa na viongozi ambao hawajapita jeshi (mgambo/JWTZ/JKT).Ni jambo jema
Shujaa Magufuli na Tundu Lisu ni Wanajeshi pia 🐼