Rais Samia anaongoza maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya mashujaa -Dodoma

Mda wa madongo hivi hawezagi kukaa kimya au Leo atajaribu
 
Jana tbc walisema atawakilishwa imekuaje ametokea tena au team mapambano anaona inaelekea vizuri wakamshauri aingie ajiupdate kwa jamii
 
Sasa ana mnunia nani?
Arudi kizimkazi kazi imemshinda
 
Serikali iitambue siku hii kama public holiday na kufuta 7/7
 
Cc. Lucas Mwashambwa
 
Vipi jamani hajatoa hotuba huko?
 
Mungu ibariki Tanzania na watu wake
Dumisha umoja na amani
 
Hii Tanzania ina mambo ya ajabu , hao watu wote wemetoka wapi?Huyu mtu wa Zanzibar hatukumalizana naye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…