Rais Samia anapata wapi Mamlaka ya kukashifu Makanisa na kuyaita Makanisa ya Kishetani?

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Yeye Makanisa yanayomsifia ndio anayapenda na kuyasifia yanafanya kazi ya Mungu

Makanisa yanayokemea Utekaji ,Upoteaji na Mauaji, anayaita Makanisa yanayofanya Kazi ya Shetani !!.

Kwamba anataka kuwaambia Wakristo Tanzania Kua kanisa hili msali, like msisali??.
 
Hayo mamlaka atakuwa anayapata kwa Mwamboosa. Au hukumuona siku ile ya kubarikiwa? Ulishawahi kumuona mahali pengine popote pale akifanyiwa tukio la aina ile?
🗣️ Oooh! Shaghalabaghalaa!!
 
Weka ushahidi wa hayo maneno
 
Tabia za kizanzibar
 
Hizi kauli hazipaswi kabisa kutolewa na mtu kama yeye, hizi ni kauli zinazoweza kuleta mpasuko katika taifa, ni vyema washauri wake wampe muongozo wa namna ya kuongea na hadhira
Tunaomba ushahidi wa hayo maneno na sisi tuchangie mada
 
acha uongo hakuna mahali samia amesema hayo
 
Write your reply...watu waongo na wafitinishi kama wote wote yapaswa mpotezwe hamfai kwenye jamii ya kitanzania yenye umoja
 
Hizi kauli hazipaswi kabisa kutolewa na mtu kama yeye, hizi ni kauli zinazoweza kuleta mpasuko katika taifa, ni vyema washauri wake wampe muongozo wa namna ya kuongea na hadhira
Utabiri wa marehemu Shekhe Yahya unaenda kutimia ccm bye bye na wenye ccm yao akina majaliwa Nape makamba Bashiru na wenzao watamwengua kwenye mbio za Urais baada ya wenzao kumchochea afanye mambo ya hovyo watanzania wamchukie wapate sababu ya kumwengua
 
Mzee Makamba anauheshimu sana ukristo. Mwl Nyerere aliuheshimu sana uislam. Hayati mzee Mwinyi pamoja na ubobevu wake katika usomi wa dini ya kiislam, hajawahi kuukashifu ukristo. Hawa wa sasa vipi? Wana misingi gani ya uelewa wa jamii ya kitanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…