zimmerman
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 1,694
- 3,242
Sasa wewe kanisa kama lile la kiboko ya wachawi tuliyemfukuza nchini unaweza kuliitaje?Yeye Makanisa yanayomsifia ndio anayapenda na kuyasifia yanafanya kazi ya Mungu
Makanisa yanayokemea Utekaji ,Upoteaji na Mauaji, anayaita Makanisa yanayofanya Kazi ya Shetani !!.
Kwamba anataka kuwaambia Wakristo Tanzania Kua kanisa hili msali, like msisali??.