Rais Samia anapata wapi Mamlaka ya kukashifu Makanisa na kuyaita Makanisa ya Kishetani?

Mzee Makamba anauheshimu sana ukristo. Mwl Nyerere aliuheshimu sana uislam. Hayati mzee Mwinyi pamoja na ubobevu wake katika usomi wa dini ya kiislam, hajawahi kuukashifu ukristo. Hawa wa sasa vipi? Wana misingi gani ya uelewa wa jamii ya kitanzania?
ibirisi wa ccm chawaccm wakitaka pesa ama kupiga Dili huwa wanamchochea Mama mkoloni kaburu afanye vitu vya hovyo kwanza, kisha moto ukiwaka wanaenda kumwambia atoe pesa kwa ajili ya kutuliza joto la Siasa wanaomba mabilioni wanagawana ni aina ya wizi mpya wa pesa za walipa kodi
 
Je pale aliposema kwa mwamposa kuwa kuna dini zilishushwa na mwenyezi Mungu na zingine zilianzishwa na watu, zilizoshushwa na mwenyezi Mungu ni zipi na zilizoundwa na watu ni zipi?
 
Hiki kikundi cha chukua chako mapema ambapo wapo akina Amos makala, Mbowe, IGP na Bashungwa wamebuni mradi wa kula pesa kiulaini ni kuwadhoofisha chadema kwa kila hali na kila wanachomwambia mkoloni kaburu toka Zanzibar anafanya pasipo kutafakari kwanza
 
Je pale aliposema kwa mwamposa kuwa kuna dini zilishushwa na mwenyezi Mungu na zingine zilianzishwa na watu, zilizoshushwa na mwenyezi Mungu ni zipi na zilizoundwa na watu ni zipi?
Ya mwamposa ndiyo imeanzishwa na watu
 
Kunywa maji mwanangu
 
Kweli yapo lakini tusikatae
 
Tusubiri tuone
 
Tunaomba ushahidi wa hayo maneno na sisi tuchangie mada
Sikiliza hotuba yake akiwa kanisani, alisema,
Kuna dini nyingine ilishushiwa kitabu kutoka kwa mwenyezi mungu na nyingine zilitungwa na watu.
 
Mzee Makamba anauheshimu sana ukristo. Mwl Nyerere aliuheshimu sana uislam. Hayati mzee Mwinyi pamoja na ubobevu wake katika usomi wa dini ya kiislam, hajawahi kuukashifu ukristo. Hawa wa sasa vipi? Wana misingi gani ya uelewa wa jamii ya kitanzania?
ze low IQ of zat grand ma
 
Je pale aliposema kwa mwamposa kuwa kuna dini zilishushwa na mwenyezi Mungu na zingine zilianzishwa na watu, zilizoshushwa na mwenyezi Mungu ni zipi na zilizoundwa na watu ni zipi?
Ya mwamposa ndiyo imeanzishwa na watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…