Rais Samia anapata wapi Mamlaka ya kukashifu Makanisa na kuyaita Makanisa ya Kishetani?

Mene mene tekeli na pes
 
Kule kwa tape tapeli mwamposa alienda kujikosha tu ila ukweli hapendi ukristo
 
Hata huku kwetu lipo kanisa la kishetani
 
MamaSamia2025 ni sadist, madini, anayeuchukia Ukristo. MamaSamia2025 ni Jazzebel, Mpinga Kristo na adui namba moja wa Ukristo hapa nchini
 
Sijawahi kuona Rais mdini kama huyu, Anaonesha chuki za wazi kabisa, mbinafsi sana.
 
Tz haijawahi na haitokaa itokee tena kuwa na rais kilazaa kama huyu tuliye naye sasa!
 
makanisa ya kihuni kama la GWAJI boy yanafutwa kwa sheria iliyo wasajili

View: https://youtu.be/jxD0Z-DEqVs?t=31
 
Eti Rais anaenda kufungua Kanisa LA Mwamposa..!
Ili Mwamposa amnadi kwa misukule take..sijawahi kuona rais wa hovyo hivi
mama akili zake za kimakonda makonda hivi.....na ndio makonda aliyempa mama dilila kwenda kwa mwamposa
 
T
Nimekumbuka habari ya Mikaya na Ahabu (mfalme wa Israeli)Mikaya aliwekwa ndani kisa hamtabirii mema soma1wafalme 22:1-30) Ndiyo yanayotokea sasa Watawala wanapenda kuwasikia wale viongozi wa dini wanaowasifia tu.
 
Hizi kauli hazipaswi kabisa kutolewa na mtu kama yeye, hizi ni kauli zinazoweza kuleta mpasuko katika taifa, ni vyema washauri wake wampe muongozo wa namna ya kuongea na hadhira
Ushauri gani mkuu? Unakumbuka usemi wake kuwa yeye ni 'chura kiziwi'? Kiziwi hasikii labda umfinye sikio.
 
Mungu ataamua mwenyewe kwenye hili muda sio mrefu sana tuwe na subira tuu
 
Yeye mwenyewe ni shetani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…