Raisi Dr Samia anasema kipao mbele Cha serikali ya awamu ya sita ni KILIMO?
Hivi mbona tunakurogona Jamani?kweli kipao mbele Cha serikali hisiyochaguliwa ni Kilimo?naogopa sana kusema ILa tutake tusitake serikali zinazojiingiza madaraka PASIPO kupigwa kura ni serikali za ovyo sana.
Naogopa kusema serikali yenye kauli mbiu ya mambo ya kilimo ni serikali za kipigaji sana.
Moderators wasaidie edditing plsRaisi Dr Samia anasema kipao mbele Cha serikali ya awamu ya sita ni KILIMO?
Hivi mbona tunakurogona Jamani?kweli kipao mbele Cha serikali hisiyochaguliwa ni Kilimo?naogopa sana kusema ILa tutake tusitake serikali zinazojiingiza madaraka PASIPO kupigwa kura ni serikali za ovyo sana.
Naogopa kusema serikali yenye kauli mbiu ya mambo ya kilimo ni serikali za kipigaji sana.
Umesahau kilimo cha Powertiller.Hata awamu ya nee ilikua hivyo.
Lakini zililimwa zaidi pesa za wananchi kuliko mazao.
Kulikua na kilimo cha Epa, escrow , fedha za miradi etc.
Yes bila kusahau chama kilichokua madarakani ni CCM na Bado ni CCM so nafurahi napoona Wana CCM mnakiri kuwa chama chenu Cha kifisadi!! Sasa mchukue hatua mtoke huko muanzishe hata chama sio mnakua wanafiki wa kuzisema huku hamtaki kuleta mabadilikoHata awamu ya nee ilikua hivyo.
Lakini zililimwa zaidi pesa za wananchi kuliko mazao.
Kulikua na kilimo cha Epa, escrow , fedha za miradi etc.
Haswa!.Raisi Dr Samia anasema kipao mbele Cha serikali ya awamu ya sita ni KILIMO?
Ukilaza ukipitiliza ni shidah!. Serikali gani isiyicho chaguliwa?.Hivi mbona tunakurogona Jamani?kweli kipao mbele Cha serikali hisiyochaguliwa
Serikali gani iliyoingia madarakani bila kupigiwa kura?.naogopa sana kusema ILa tutake tusitake serikali zinazojiingiza madaraka PASIPO kupigwa kura ni serikali za ovyo sana.
Kwa vile kilimo ndio uti wa mgongo wa nchi yetu, then kilimo ndio kipaumbele No. 1 kwa taifa letu!. Mama is on the right track!.Naogopa kusema serikali yenye kauli mbiu ya mambo ya kilimo ni serikali za kipigaji sana.
Bora waliolima pesa kuliko waliolima miili na roho za watuHata awamu ya nee ilikua hivyo.
Lakini zililimwa zaidi pesa za wananchi kuliko mazao.
Kulikua na kilimo cha Epa, escrow , fedha za miradi etc.
Uwa naumia nikitukanwa na jitu Zima,kama Ili Mimi uwa naumia sana jitu Zima ovyo kabisa yaani serikali ya awamu ya sita ilichaguliwa na nani?nani alimchagua Dr Samia kuwa Rais?Huyu ni raisi wa urisi aliye risi uraisi ulio kuwa haramu,kipi usichokijua?au Kwa kuwa na wewe ulikuwa sehemu ya wagombea haramu wa ccm uliyetiwa adabu na wajumbe ovyo wa chama Cha wizi WA kula milele na milele Amina?Haswa!.
Ukilaza ukipitiliza ni shidah!. Serikali gani isiyicho chaguliwa?.
Serikali gani iliyoingia madarakani bila kupigiwa kura?.
Kwa vile kilimo ndio uti wa mgongo wa nchi yetu, then kilimo ndio kipaumbele No. 1 kwa taifa letu!. Mama is on the right track!.
P
Aliposema kipaumbele kilimo, sisi wakulima tumeelewa maana hata mbolea kweli tumeipata ya ruzuku tumeipata kwa urahis haitupi tabu kulima.Raisi Dr Samia anasema kipao mbele Cha serikali ya awamu ya sita ni KILIMO?
Hivi mbona tunakurogona Jamani?kweli kipao mbele Cha serikali hisiyochaguliwa ni Kilimo?naogopa sana kusema ILa tutake tusitake serikali zinazojiingiza madaraka PASIPO kupigwa kura ni serikali za ovyo sana.
Naogopa kusema serikali yenye kauli mbiu ya mambo ya kilimo ni serikali za kipigaji sana.
Wanasema kilimo ndio kipaumbele chao mbona hapo Ikwiriri Rufiji wananchi wameambiwa wahame wayaache mashamba yao na nyumba zao eti miaka zaidi ya 20 waliyokuwepo hapo walikuwa wamevamia msitu wa Ngomboroni ? Je hicho ndicho kipaumbele kinachopewa Kilimo ??!!Raisi Dr Samia anasema kipao mbele Cha serikali ya awamu ya sita ni KILIMO?
Hivi mbona tunakurogona Jamani?kweli kipao mbele Cha serikali hisiyochaguliwa ni Kilimo?naogopa sana kusema ILa tutake tusitake serikali zinazojiingiza madaraka PASIPO kupigwa kura ni serikali za ovyo sana.
Naogopa kusema serikali yenye kauli mbiu ya mambo ya kilimo ni serikali za kipigaji sana.
Ukiwa ni mjinga ukiambiwa mjinga, hujatukanwa ni umeambiwa ukweli!, na kiukweli kabisa tuna mijitu mijinga ajabu humu JF!. Haijui kuwa Samia alichaguliwa na kila aliyemchagua JPM ile 2020!.Uwa naumia nikitukanwa na jitu Zima,kama Ili Mimi uwa naumia sana jitu Zima ovyo kabisa yaani serikali ya awamu ya sita ilichaguliwa na nani?nani alimchagua Dr Samia kuwa Rais?Huyu ni raisi wa urisi aliye risi uraisi ulio kuwa haramu,kipi usichokijua?au Kwa kuwa na wewe ulikuwa sehemu ya wagombea haramu wa ccm uliyetiwa adabu na wajumbe ovyo wa chama Cha wizi WA kula milele na milele Amina?
Rais Samia Kamatia hapo hapo Kuna mjinga mmja huku umemkuna kidotiRaisi Dr Samia anasema kipao mbele Cha serikali ya awamu ya sita ni KILIMO?
Hivi mbona tunakurogona Jamani?kweli kipao mbele Cha serikali hisiyochaguliwa ni Kilimo?naogopa sana kusema ILa tutake tusitake serikali zinazojiingiza madaraka PASIPO kupigwa kura ni serikali za ovyo sana.
Naogopa kusema serikali yenye kauli mbiu ya mambo ya kilimo ni serikali za kipigaji sana.
Vyote hivyo haiwezi fikia Ufisadi wa awamu ya 5,Siku ije itokee Wapinzani wanashika dol aisee mtatamani Ardhi ipasuke muingieHata awamu ya nee ilikua hivyo.
Lakini zililimwa zaidi pesa za wananchi kuliko mazao.
Kulikua na kilimo cha Epa, escrow , fedha za miradi etc.
Kama kawaida yule dikteta uchwara alikuwa failure,alivuruga Kila kitu ikiwemo Kilimo..Umesahau kilimo cha Powertiller.