Rais Samia anaposema Kilimo ni kipaumbele cha Serikali yake anamaanisha?

Wakati anazunguka Tanzania mda ule yule gari bovu akiwa gereji hamkumchagua?
 
Aliposema kipaumbele kilimo, sisi wakulima tumeelewa maana hata mbolea kweli tumeipata ya ruzuku tumeipata kwa urahis haitupi tabu kulima.
Nimesikia block farms za vijana zinaanzishwa, hii awamu ni maneno na vitendo. Eko rais.!
Sio mbolea tuu Bali mwaka huu mtafaidi sana..

Yule aliyeharibu uchumi wenu wenu Sasa hayupo .

Rais Samia karudisha Neema [emoji116]

 
Tanzania haijawahi kuwa na vipaumbele,
Ndio maana tunajenga madarasa toka 1961,
Laiti hiyo sekta ya kilimo ingekuwa ni kipaumbele toka awamu ya 1-6 basi Mimi na wewe tungeshuhudia makubwa kwenye kilimo na maendeleo ya mkulima[emoji3166]
Madarasa hayajawahi kuisha wewe mbumbumbu,watu wanavyoongezeka lazima yajengwe na Wala madarasa sio kipaombele Bali Huduma za jamii kiujumla
 
Hameni kwani kipaombele Cha Kilimo nin kuharibu misitu na vyqnzo vya maji?
 
Kiliko Kwanza to Uchumi wa Viwanda back to Kilimo! All that in a space of eight years na kwa maRais watatu!! Inaonekana kila Rais ana hali ya kuanzisha jambo lake bila kuendeleza la mwenzake!

Kukosa dira kama taifa ndio kilichotufikisha hapa. Kabla kimoja hakijafanikiwa, tumeshakiacha na kurukia kingine. Mwisho wa siku hatutafanikiwa hata kimoja!!!

Hakuna mfumo imara wa kiuchumi unaojengwa katika muda mfupi! Tutengeneze dira ya taifa ya miaka angalau 20 na kuanza kuitekeleza. Tukome tabia ya kutaka kuona mafanikio makubwa katika miaka mitano!!
 
Madarasa hayajawahi kuisha wewe mbumbumbu,watu wanavyoongezeka lazima yajengwe na Wala madarasa sio kipaombele Bali Huduma za jamii kiujumla
Ukweli kama nchi hatujawahi kuwa na vipaumbele, kila awamu na lwake, na hakuna kinachokamilika.
 
Bajeti ya TAMISEMI trillion 8 na Kilimo Bilioni 900!
Sasa hapo kipaombele ni Kilimo kweli?
 
Bajeti ya TAMISEMI trillion 8 na Kilimo Bilioni 900!
 
Machinga huwa hawataki kusikia mambo ya kilimo. Wanataka waachwe wauze mpaka barabarani na serikali ihakikishe chakula ni bei rahisi.
 
Mkuu Njaa, ongeza mashambulizi, najua utakumbukwa tu. Vuta subira.
 
Dr Samia anamaanisha kweli kweli ndio maana serikali yake imelipia mbolea nusu Kwa nusu na mkulima
 
Watu wanachagua Rais na sio makamu. Ndio maana inawezekana hata Rais akishachaguliwa anaweza kumteua makamu wake mbele ya safari kama anavyomteua waziri mkuu wake. Hiyo makamu ni takwa tu la kikatiba kama alivyo leo Philip Mpango ni takwa la kikatiba. Leo Mpango akirithi Urais utadai alichaguliwa kwenye uchaguzi!?
 
Kilimo Kwanza

Haya maneno kuhusu kilimo ni porojo zinazobadilika kutokana na serikali inayokuwa madarakani muda huo. Nakumbuka kuna kilimo cha kufa na kupona, kilimo ni uti wa mgongo, kilimo kwanza nk. Lakini muda wote huo mkulima ndio mmoja ya watu masikini kabisa huku nchini. Imefikia mahali kilimo imekuwa sehemu ya dhihaka, utasikia kama maisha yamekushinda mjini, rudi kijijini ukalime. Yaani wanaamanisha kilimo ni shughuli ya watu walioshindwa maisha!
 
Kipaumbele Cha hii serikali ni kubaki madarakani tu,hawana jipya Hawa mbulukenge,kipaumbele Chao ni kubaki madarakani tu,huyu samia yupo kama kibaraka tu,Kuna wale hardliners hawataki katiba mpya,uhuru wa kisiasa,wala ushirikiano na upinzani,wao wanataka Ngumi jiwe tu,
 
Bajeti ya TAMISEMI trillion 8 na Kilimo Bilioni 900!
Sasa hapo kipaombele ni Kilimo kweli au Bibi anazeeka vibaya!
Kilimo na wakulima Nchi hii ni shida tu ndio za kwao ! Lakini Polepole wanaanza kufumbua macho na wakishajitambua kwamba wao ndio wanaolilisha taifa Habari itakuwa nzito !!
 
Makamu ni cheo anachokuwa nacho baada ya mgombea Urais kushinda Urais ila kabla kwa maana ya kwenye uchaguzi na kampeni anakuwa ni mgombea mwenza na mpaka kura zinapigwa anakuwa ni mgombea mwenza.

Kwa kukusaidia tu mgombea mwenza ni mgombea mwenzake mwenye sifa kama zake.
 
Haswaa ndivyo wanavyomaanisha ! Hata Sheikh wa mkoa wa Dar aliyetenguliwa nimeona clip mitandaoni watu wanakula kuku na chapati na eti wanamshauri sasa kama hana kazi arudi shamba akalime !! Yaani wakulima wanadharaulika sana Nchi hii !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…