Rais Samia anashabikia timu gani?

Rais Samia anashabikia timu gani?

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2021
Posts
3,211
Reaction score
3,611
Marais wote katika safu ya JMT wanajulikana timu zao za mpira. Binafsi sijawahi kusikia rais Samia ni shabiki wa timu ipi, klabu au timu ya taifa?

Au ni shabiki wa timu ya taifa ya mpira wa pete? Tutani hapo!
 
Ni Mama wa Msimbazi huyo.
Msimu uliopita alitaka kuja uwanjani Kuangalia game ya Simba na Yanga. Hakujua kanuni zipoje, yeye siku ya mechi akaagiza TFF isogeze muda ili Mechi ianze saa Kumi na Moja, ili akishazindua kitabu cha Mzee Mwinyi aje uwanjani.

Kilichotokea - Yanga walisusa kucheza saa 11.

Mwaka huu kaona Simba Queens inashiriki Cecafa women's cup, yeye kakubali kufadhili fedha za mshindi. Timu yake anayoishabikia ikaambulia nafasi ya nne.
 
OMG! Mshauri wake wa sekta ya michezo hakumuelewesha kuwa Katiba ya FIFA na CAF zina nguvu kuliko Katiba za nchi wanachama wao? Katiba zao haziingiliwagi na mamlaka yoyote.
 
Back
Top Bottom