Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
Jang'ombe boysMarais wote katika safu ya JMT wanajulikana timu zao za mpira. Binafsi sijawahi kusikia rais Samia ni shabiki wa timu ipi, klabu au timu ya taifa?
Au ni shabiki wa timu ya taifa ya mpira wa pete? Tutani hapo!
Mwekundu yule, mwenye nchi!... Binafsi sijawahi kusikia rais Samia ni shabiki wa timu ipi, klabu au timu ya taifa?
OMG! Mshauri wake wa sekta ya michezo hakumuelewesha kuwa Katiba ya FIFA na CAF zina nguvu kuliko Katiba za nchi wanachama wao? Katiba zao haziingiliwagi na mamlaka yoyote.Ni Mama wa Msimbazi huyo.
Msimu uliopita alitaka kuja uwanjani Kuangalia game ya Simba na Yanga. Hakujua kanuni zipoje, yeye siku ya mechi akaagiza TFF isogeze muda ili Mechi ianze saa Kumi na Moja, ili akishazindua kitabu cha Mzee Mwinyi aje uwanjani.
Kilichotokea - Yanga walisusa kucheza saa 11.
Mwaka huu kaona Simba Queens inashiriki Cecafa women's cup, yeye kakubali kufadhili fedha za mshindi. Timu yake anayoishabikia ikaambulia nafasi ya nne.
Mwinyi yupi? Ukisema Karume lazima utofautishe Karume yupi? Dynasty hiyo!Msaada tutan mwinyi anashabikia team gan
Msaada tutan mwinyi anashabikia team gan
mimi nina akili kuzidi ukoo wenu wote, yaani ukiunganisha akili za ukoo wako haziwezi kufikia zangu. Nina hakika na nilichokiandikaWe jamaa sometimes dish lako hua E-32? hio topic ina husiaana vp na huu uharo wako
mlete mama yako tumuwekeMatako wewe , uwe na akili uweke avatar ya mwanaume mwenzako