PreGE2025 Rais Samia anasomaga comments? Je, anaujua ukweli? Je, hakuna mtu wa kumwambia ukweli au hajui?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
25,050
Reaction score
45,202
Aman iwe kwenye watumishi wa MUNGU

Ukiachana na ukweli kwamba mama yetu huyu uongozi umememushinda, maana toka aingie madarakan hakuna hata jema moja ambalo kafanya wala kafanikiwa, kila kitu kaharibu , kila kitu kimemshinda

Mfano mdogo kabisa angalia mwendokas, mwendokas ni kitu kidogo kabisa lakin mama huyu nacho kimemshinda , achana na masuala makubwa kama uchumi na kupanda kwa dollar, achana na masuala makubwa kama rushwa na ufisadi

Nenda mwananchi kajisomee koment jinsi watu wanavyo msema vibaya

Sasa mimi najiuliza je yeye hizo comment huwa haizoni basi ili hata tu ajirekebishe sasa yeye badala ya kujirekebisha ndo anaharibu zaid

Tumwombee walau akubali kupumzika.

​
 
Kwanini usingeweka link sasa
 
Mkuu mwendokasi umekufa ukiambiwa. Daah mama hana uwezo wa kuongoza ila ni reforms wakubali tu zifanyike nchi ina mambo yasiyoelezeka yaani.
 
Hata akijua ukweli wimbi wa chawa zito Dana hawezi wachomolea!!

Power ya chawa ni kubwa sana ndugu zanguni,chawa plus kiyoyozi plus first grade life nani atasema hapana sigombei!!?

Labda upate wahai!
 
Kamwambie wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…