PreGE2025 Rais Samia anasomaga comments? Je, anaujua ukweli? Je, hakuna mtu wa kumwambia ukweli au hajui?

PreGE2025 Rais Samia anasomaga comments? Je, anaujua ukweli? Je, hakuna mtu wa kumwambia ukweli au hajui?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mama Samia ni Simba na msemo uko wazi kuwa A lioness doesn't concern herself with the opinions of the nyumbus!!

Ana mambo mengi muhimu ya kufanya, atapotezaje muda kwa ajili ya hao wajinga?!!!
Nyie ndo mna mfanya huyu mama aonekane amnazo
 
Aman iwe kwenye watumishi wa MUNGU

Ukiachana na ukweli kwamba mama yetu huyu uongozi umememushinda, maana toka aingie madarakan hakuna hata jema moja ambalo kafanya wala kafanikiwa, kila kitu kaharibu , kila kitu kimemshinda

Mfano mdogo kabisa angalia mwendokas, mwendokas ni kitu kidogo kabisa lakin mama huyu nacho kimemshinda , achana na masuala makubwa kama uchumi na kupanda kwa dollar, achana na masuala makubwa kama rushwa na ufisadi

Nenda mwananchi kajisomee koment jinsi watu wanavyo msema vibaya

Sasa mimi najiuliza je yeye hizo comment huwa haizoni basi ili hata tu ajirekebishe sasa yeye badala ya kujirekebisha ndo anaharibu zaid

Tumwombee walau akubali kupumzika.

Hawa ndivyo walivyo, hata Mbowe aliambiwa sana kwamba Chadema inemshinda asigombee na Lissu lakini hakusikia akaamua kugombea. Kwani alikuwa hasomi comments au alikuwa hajui?
 
Wa Tanzania ni watu wanaopenda kuwa negative kwa kila kitu, na watumia mitandao ni wachache ukilinganisha na total population ya nchi, Hivyo watu wa FB, insta na X, wakiamua kutoa maoni Yao hatuwezi kusema ndio mtazamo wa wa Tanzania wote.
 
Kiongozi Mama amenipunguzia deni la HESLB mil 2 , nimepata ajira baada ya miaka 7 … unataka nisemeje
Mkuu hayo mambo kila kiongozi hufanya kwa uwezo wake na huwagusa wahusika kwa namna moja au nyingine.

Yaani hilo lako hata Magu kuna ambao aliwagusa kwa kupata ajira, mikopo nk.

Nakumbuka kipindi Magu ndio anaingia madarakani kuna sister alikua 2nd yr akapata mkopo 100%, nae humwambii kitu juu ya Magu.
So ni hivyo mkuu, kusema aliwazidi ndio nakuja hapo kua hata ajae itasemwa kawazidi wote.
 
Wa Tanzania ni watu wanaopenda kuwa negative kwa kila kitu, na watumia mitandao ni wachache ukilinganisha na total population ya nchi, Hivyo watu wa FB, insta na X, wakiamua kutoa maoni Yao hatuwezi kusema ndio mtazamo wa wa Tanzania wote.
Mjinga kabisa
 
Back
Top Bottom