PreGE2025 Rais Samia anasomaga comments? Je, anaujua ukweli? Je, hakuna mtu wa kumwambia ukweli au hajui?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ni njia tu ya kutaka ujumbe ufike

Si unajua wanapenda sana masifa
Ni udhaifu wa kiakili na kujipendekeza.

Unaweza kuufikisha ujumbe bila kujidhalilisha.

Pia, naona ‘mods’ wameyabadilisha hayo maneno uliyoyatumia.

Naamini hata wao wameona dosari zake.

Aibu.
 
Kakojoe ukalale
Samia mitano tena
 
gentleman,
huna haja kubabaika na kusumbua watu wenye majukumu na wajibu wa kuwatumikia wananchi na waTanzania wote kuelekea uchaguzi mkuu wa October 2025.🐒

Alisema huwa anasomaga comment. Hadi hapo si angetambua angejiheshimisha mno kwa kustaafu mwenyewe. Au Yale yale ya mwamba wa kwetu?
 
Alisema huwa anasomaga comment. Hadi hapo si angetambua angejiheshimisha mno kwa kustaafu mwenyewe. Au Yale yale ya mwamba wa kwetu?
kuments za kilofa zinakusanywa na kuhifadhiwa mahali pake gentleman 🐒
 
Alisema yeye ni Chura
 
Ndioo
Mama yetu sisi
Mama yetu kipenzi

Kama nyie mna mama yenu pia ni sawa
Hamna kipenzi kwa mhamiaji,hivi mmewahi fika Zanzibar mkaona wanavyotuona kama watumwa,do u know that mama D
 
Mama Samia ni Simba na msemo uko wazi kuwa A lioness doesn't concern herself with the opinions of the nyumbus!!

Ana mambo mengi muhimu ya kufanya, atapotezaje muda kwa ajili ya hao wajinga?!!!
 
 

Attachments

  • Screenshot_20250518-073930.png
    101.6 KB · Views: 23
TATIZO UKIANDIKA SENSITIVE ISSUES KAMA HIZI jf WANAFUTA , NAO NI WAOGA KUF MTU HALAFU ETI MNAANZISHA jAMII aFRICA, NANI ATAWEKA POST YKE MUIFUTE KESHO ARUDI KUPOST HAPA.
Siku hizi angalau wameanza kujiamin

Kwanza mimi nashangaa sana hata hii post kubaki hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…