Nyie ndo mna mfanya huyu mama aonekane amnazoMama Samia ni Simba na msemo uko wazi kuwa A lioness doesn't concern herself with the opinions of the nyumbus!!
Ana mambo mengi muhimu ya kufanya, atapotezaje muda kwa ajili ya hao wajinga?!!!
Hawa ndivyo walivyo, hata Mbowe aliambiwa sana kwamba Chadema inemshinda asigombee na Lissu lakini hakusikia akaamua kugombea. Kwani alikuwa hasomi comments au alikuwa hajui?Aman iwe kwenye watumishi wa MUNGU
Ukiachana na ukweli kwamba mama yetu huyu uongozi umememushinda, maana toka aingie madarakan hakuna hata jema moja ambalo kafanya wala kafanikiwa, kila kitu kaharibu , kila kitu kimemshinda
Mfano mdogo kabisa angalia mwendokas, mwendokas ni kitu kidogo kabisa lakin mama huyu nacho kimemshinda , achana na masuala makubwa kama uchumi na kupanda kwa dollar, achana na masuala makubwa kama rushwa na ufisadi
Nenda mwananchi kajisomee koment jinsi watu wanavyo msema vibaya
Sasa mimi najiuliza je yeye hizo comment huwa haizoni basi ili hata tu ajirekebishe sasa yeye badala ya kujirekebisha ndo anaharibu zaid
Tumwombee walau akubali kupumzika.
Ndivyo siasa zilivyo, hata ajae mtasema kuna aliyoyqfanya mazuri zaidi ya watangulizi wake wote "combined".Sio kweli kuna alivyofanya vizuri zaidi ya watangulizi wake wote.
Kiongozi Mama amenipunguzia deni la HESLB mil 2 , nimepata ajira baada ya miaka 7 … unataka nisemejeNdivyo siasa zilivyo, hata ajae mtasema kuna aliyoyqfanya mazuri zaidi ya watangulizi wake wote "combined".
Wewe dada/kaka mambo yako yanaendaje?Ndioo
Mama yetu sisi
Mama yetu kipenzi
Kama nyie mna mama yenu pia ni sawa
Mkuu hayo mambo kila kiongozi hufanya kwa uwezo wake na huwagusa wahusika kwa namna moja au nyingine.Kiongozi Mama amenipunguzia deni la HESLB mil 2 , nimepata ajira baada ya miaka 7 … unataka nisemeje
Mjinga kabisaWa Tanzania ni watu wanaopenda kuwa negative kwa kila kitu, na watumia mitandao ni wachache ukilinganisha na total population ya nchi, Hivyo watu wa FB, insta na X, wakiamua kutoa maoni Yao hatuwezi kusema ndio mtazamo wa wa Tanzania wote.
Wewe dada/kaka mambo yako yanaendaje?
Nimekupuuza, muungwana anaelewa kuwa sio lazima mitazamo ifanane.Mjinga kabisa