ZINJANTHROPAZ
JF-Expert Member
- Aug 6, 2023
- 287
- 470
Post kama hii huwa nazipita nakimbia sjui kwann., napendaga sana wasema ukweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli upi tofauti na huu unaousoma humu? 👇👇Post kama hii huwa nazipita nakimbia sjui kwann., napendaga sana wasema ukweli.
Rubbish. Wawekezaji uchwara amekuja kuuza mitumba kariakooAwamu ile nyingine hadithi na porojo zilikuwa nyingi sana kuhusu viwanda, ila wakaishia kuaibika kwa kusema vyerehani na vijiwe vya uchomeleaji ni viwanda.
Hilo halipo awamu ya 6, ni maneno na matendo kama inavyoonekana hapa chini. 👇
Na wewe kauze kwao.Namba zinaongea 👇 👇Rubbish. Wawekezaji uchwara amekuja kuuza mitumba kariakoo