Rais Samia anatakiwa kuwa makini afanyapo teuzi

Ninachojua HAKUNA familiya mpya itakyoingia kwenye utawala wa nchi hii.mama yupo making lakini abaponzwa na watu wa tamisemi.Tamisemi waliwahi kuajiri Mwalim Mara 196.Tamisemi inaajiru watu kwa vimemo.
Mkiambiwa mwisho wa haya ni katiba mpya, hamtaki, hakuna wa umakini wala nini msiwe mnawapa lawama wengine , kama ni makosa ya wasaidizi wake , ni hatua gani huwa anawachukulia?yaani kiongozi anateua tu mtu anayemtaka yeye na haulizwi!!!
 
Mkuu haya majina hayajatolewa na tamisemi, yametoka direct ikulu.
Ingekuwa yametolewa na tamisemi wala nisingeshangaa sana, Ila Ikulu lazima tushangae.
Pia mama inaonekana nae hana muda wa kusoma wateuliwa wake, kwa maana ilipaswa nae apitie kuona je aliowateua ndio wako published
 
Mkiambiwa mwisho wa haya ni katiba mpya, hamtaki, hakuna wa umakini wala nini msiwe mnawapa lawama wengine , kama ni makosa ya wasaidizi wake , ni hatua gani huwa anawachukulia?yaani kiongozi anateua tu mtu anayemtaka yeye na haulizwi!!!
Tutafika tu, wanahisi katiba ipo kwa ajili ya mbowe tu. Wanashindwa kuelewa mbowe ataondoka ataiacha katiba.
Vijana wa CCM ni watu wa hovyo sana
 
Mtu ambaye ni mweupe kichwani hawezi kuwa makini katika kufanya maamuzi mkuu. Tukubali tu kwamba huyu Rais TUMEPIGWAAAA kipigo cha dog koko
Mama awe makini. Kuna watu wanataka kumkwamisha. Hii dublicate haiwezi kutetewa. Kwa mfano Mh Dollar ameteuliwa DED wa mji wa Kasulu na Njombe! Lutengano George Mwaiba naye kateuliwa DED wa Bukombe na Misungwi! Wa kulaumiwa hapa ni Katibu Mkuu Kiongozi. Mkuu usimwangushe Mama tafadhali. Mwisho wa siku yeye ndo anaonekana mzembe kumbe mzembe ni wewe.
Mkiambiwa mwisho wa haya ni katiba mpya, hamtaki, hakuna wa umakini wala nini msiwe mnawapa lawama wengine , kama ni makosa ya wasaidizi wake , ni hatua gani huwa anawachukulia?yaani kiongozi anateua tu mtu anayemtaka yeye na haulizwi!!!
 
Mkuu, huyu sio smart kabisa..
Anashindwaje kupitia kitu muhimu kama teuzi ambazo tunaamini amezifanya yeye mwenyewe ambazo hazizidi hata page 3 tu na kuona makosa??
A default President..hana uwezo kabisa..
Anazungusha jicho tu.
 
Hana haja ya kuwa na umakini wowote kwani Katiba iliyopo inampa madaraka na kinga ya kufanya chochote katika nchi hii bila kuhojiwa na yoyote. Piga kazi Mama hata ukiamua wapinzani tukatwe vichwa wewe tu, hakugusi mtu yoyote katika nchi hii.
 
Kuna Mmoja namjua Kahonga sana na Karoga mno ila Uteuzi bado umempitia tu Kando ( Kaukosa ) je, huyu Mtu tumsaidiaje Mkuu? Na je, huku Kukosa kote kote kwa Kuhonga na Kuroga 'Kitaalamu' kunaitwaje?
Kitaalam inaitwa fungu la kukosa au wengine wanaita kisicho rizki hakiliki
 
Hana haja ya kuwa na umakini wowote kwani Katiba iliyopo inampa madaraka na kinga ya kufanya chochote katika nchi hii bila kuhojiwa na yoyote. Piga kazi Mama hata ukiamua wapinzani tukatwe vichwa wewe tu, hakugusi mtu yoyote katika nchi hii.
Mimi nilitaka hata gesi apandishe iwe laki moja, daladala iwe elf 10, sukari elf 30,tozo haitoshi
 
Succession plan ndiyo tatizo.
Huwezi kuchukua watu kwa sababu ya ukada badala ya kuwaandaa wapate uzoefu, waelewe watachosimamia.
Kwa utamaduni wetu, umri nao ni heshima.
Vijana wana mihemko na ujinga mwingi, hata haya makosa ni kwa sababu hizo hizo.
 
Kuna Mmoja namjua Kahonga sana na Karoga mno ila Uteuzi bado umempitia tu Kando ( Kaukosa ) je, huyu Mtu tumsaidiaje Mkuu? Na je, huku Kukosa kote kote kwa Kuhonga na Kuroga 'Kitaalamu' kunaitwaje?
Kunaitwa KUKUKU(Kukosa kwa kuhonga)
 
Kwa hiyo Madame President akipokea document yeye ana assent bila kusoma!! This is a SMOKING GUN.....
 
Kwani yeye hasomi? tunajua kuna check points za documentation lakini mpaka mtu asahini ina maana kasoma.
 
Hizi teuzi hizi!
Hizo nafasi watu wanapaswa kuomba na kisha kufanyiwa usaili.
Wanaofaa waajiriwe kwa mkataba wa miaka 2.
Miezi 6 ikiwa ya majaribio.
Tusichezee kodi zetu!
 
Kila kitu mama anaandikiwa na hasomi kama JPM. Kuna siku utakuta foreigner kateuliwa .
 
Hakuna anayemkwamisha Ila yeye tu hana uwezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…