Rais Samia anatakiwa kuwa makini afanyapo teuzi

Sidhani kama ni Rais wa kulaumiwa kwenye vitu vidogo vidogo vya details sio sahihi kumlaumu unataka alale na mafaili kama mwenzake alivyokuwa anafanya hiyo itakuwa micro management lawama ziwaendee vetting team na wasaidizi wake katika hili eneo.
Raisi ni cheo kikubwa sana hizi errors zilitakiwa zigunduliwe na kurekebishwa na wasaidizi wake .
 
Kateua mkwe mvuvi na jitu lijinga ndio linamshauri utumbo tu
 
Kwani anapokuwa anaupiga mwingi, kuna anayekuwa akimsaidia?
 
ACHENI HIVYO HIVYO HAKUNA NAMNA
Tulishasema kwa katiba hii , hii nchi hata tumpe malaika, lazima alete uvundo tu, kwani kila kitu kinaendeshwa kutegemea hisani ya kiongozi!!mtu ana teuliwa from no where.Ndio ufikirie mambo madogo madogo tu hayo, yanashindikana, ije mambo makubwa?!!mtu anateuliwa kuwa RC, jina linatangazwa kabisa heee, wanakuja kushituka kumbe ni form 4!!wanaengue?na mbona hii hali imejitokeza sana kuanzia awamu ya tano na sasa ya sita?!!huko nyuma sidhani kama iliwahi tokea!!!
 
Mkiambiwa mwisho wa haya ni katiba mpya, hamtaki, hakuna wa umakini wala nini msiwe mnawapa lawama wengine , kama ni makosa ya wasaidizi wake , ni hatua gani huwa anawachukulia?yaani kiongozi anateua tu mtu anayemtaka yeye na haulizwi!!!
Katiba mpya? Katiba mpya ndiyo itakayokuwa makini na teuzi?
 
Alishawaambia hawezi hesabu tofali Kama mtangulizi wake mnategemea nn? Alisema anawaamini walio chini yake...Ni mwendo wa kuletewa faili mezani na kusign full stop ..Mambo ya kisign sign bila kusoma Ni hatari kwa level ya uraisi....Taifa linaweza ingia matatizoni

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
kateua mtu mara mbili,
LUTENGANO G Misungwi na Bukombe
 
Kuna Mmoja namjua Kahonga sana na Karoga mno ila Uteuzi bado umempitia tu Kando ( Kaukosa ) je, huyu Mtu tumsaidiaje Mkuu? Na je, huku Kukosa kote kote kwa Kuhonga na Kuroga 'Kitaalamu' kunaitwaje?
Huyo amejambiwa na fisi.....
Gundu lake zito kwa kweli...
 
Katiba mpya? Katiba mpya ndiyo itakayokuwa makini na teuzi?
Heee!!kumbe inaonekana hata rasimu ya katiba ya warioba huijui, kwani usingeuliza kitu kama hiki!!unafikiria kama pendekezo la wananchi kwenye katiba mpya linalosema kama rais atafanya uteuzi wa kiongozi jina/majina hayo lazima yapelekwe kwenye kamati maalum yajadiliwe ndii yapitishwe, mapungufu kama haya ungekuwa unayaona??mtu anateuliwa kuwa RAS, kumbe ni form 4, watu wanapiga kelele, ndio mteuaji anashituka anatengua!!na nafasi kama hizi za u DED, inatakiwa ziwe za wataalam na zinatangazwa watu wanaomba, sio kama sasa za zimekuwa za makada wa ccm, na hili sana limeanzia awamu ya tano!!Katiba nzuri ni muongozo tu wa lipi lifanyike na kwa utaratibu gani, kwani rais hawezi kuwafahamu kila mtu anayemteua, ndio maana , hapaswi kuwa na majukumu yote hayo!!kwani wazungu wanafanyaje?wewe rais pendekeza jina kuna watu watamuita muhusika, atafanyiwa mahojiano, then, kama ana sifa atateuliwa!!lakini huku hata ukiamua kuwajaza mahawala zako, ndugu ni wewe tu!!Kenya wana matatizo yao mengine lakini huku walishatoka siku nyingi tu.
 
Wasaidizi siku zote watafanya kulingana na boss wao alivyo
Kumbuka kuwa hao wasaidizi ni yeye kawachagua
 
Hao watu wengine Wala usipoteze nguvu kuwaelewesha
 
Mtu ambaye ni mweupe kichwani hawezi kuwa makini katika kufanya maamuzi mkuu. Tukubali tu kwamba huyu Rais TUMEPIGWAAAA kipigo cha dog koko
... mmepigwa na nani?
 
Kama teuzi tu hayupo makini vipi kuhusu mikataba ya nchi toka aliposema kuwa maombolezo ni siku 14 nikajua ooooh tunapoenda ni pagumu sana
 
Basi ungeweka hapa hayo makosa. Ona sasa unanilizamisha kutafuta PDF ama uzi wenye hao wateule.

Tujifunze kuripot vitu kwa upana wake. Maana nimebakia kusoma comments za watu ili nijue shida ipo wapi.

Nimetumia haki yangu kukukosoa.
 
Tupewe mrejesho baada ya uchunguzi wa benk kuu

Ukweli usiopingaka wakati mwendazake anapumulia oxygen, watu walikwapua tilion 3/4

Mama hataki kusema ukweli kulinda chama ila kaikuta BOT empty
 
Hivi jamana mnampa mzigo.mama yetu kwa hiyo hayo.majina yeye ndio alikuwa na Fanya typing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…