Rais Samia anatakiwa kuwa makini afanyapo teuzi

Ndiyo maana unasikia madaraka ya rais ni makubwa mno. Hiyo idadi ya watu anaowateua ni kubwa sana kiasi inatia shaka sana iwapo anateua watu ambao ni sahihi. Makosa yanayotokea kwenye hizi teuzi ni kwasababu hiyohiyo.
Bila kubadilisha namna ya kuongoza hii nchi tutacheza makidamakida miaka nenda miaka rudi. Wengine wanafurahia tu kujaza supu kwenye vitambi vyao, hawajali kabisa maendeleo ya nchi.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hii ni hasira ya kukosa uteuzi hapa naona...
ikichagizwa na mapungufu yaliyopo
 
Hivi jamana mnampa mzigo.mama yetu kwa hiyo hayo.majina yeye ndio alikuwa na Fanya typing
Kuna kitu hujaelewa. Wakurugenzi wanapaswa kuwa 184 lakini kutokana na majina kujirudia wapo 182
Hivyo inaoanyesha mteuaji ambae ni raisi ndio mwenye kosa na ndio maana muda mfupi uliopita waziri ummy mwalimu kasema uteuzi wa hao wawili wengine utafanyika tena
 
Hii ni hasira ya kukosa uteuzi hapa naona...
ikichagizwa na mapungufu yaliyopo
Uteuzi mimi? Sijawahi kuwaza kwa kuwa nipo mbali sana na hizo teuzi hakuna namna ambayo itanifanya niteuliwe.
 
Teuzi zimekuwa Kama faza krisimasi anagawa popukoni
 
Kiliteua watu mara mbilimbili

Ni KITHIBITISHO TOSHA KUAZ HAPITIII NYARAKAAA


NA MTU WA AINA HII HAFAI.
 
Unaelimisha hao mazwaga watakuelewa? Tanzania watu wana ushabiki wa kijinga sana. Makosa kama haya ni tip of the iceberg tu. Kuna yale makubwa na yenye madhara mabaya sana ambayo hayaonekani physicaly lakini athari zake zinaacha alama kwa miaka mingi. Kwa hii katiba hakuna kitakachobadilika, na pengine hali inaweza kuwa mbaya zaidi.
 
Vimemo anatumiwa. Watu wanapiga hela sana hizi teuzi. Wapo watu special wa kupeleka Vimemo vya uteuzi. Tuna kazi sana yaani
Tamisemi iliyokuwa awamu ya 4 ilikuwa ina uza nafasi
 
Sijui shida nini kwa wenzetu huko, makosa Kama haya mbona yanaepukika?
Kwenye hili la wakurugenzi anaweza kuwa sio yeye Ila kwenye lile la wakuu wa mikoa ni yeye anahusika na Yale makosa
Hakitumia akili yake mtasema hashauriki
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu mwenyewe alisema ile taasisi huwa haikoseagi; kwa mambo kama haya ndio upime uwezo wa yeye mwenyewe na watu wanaomzunguka naona ni mwendo wa kupuyanga tu zakhia meghji aliwai sema wanamuonea kwasababu mwanamke akiwa waziri wa fedha wa mkwere
 
Umeandika vyema sana ndugu. Wasaidizi wa rais wanamharibia sana. Mara nne zote!! Enough is enough. Wazembe wote wanaomzunguka rais nawatumbua katika ulimwengu wa kiroho kwa imani.
 
Kwani hao hawajadungwa?
 
Teuzi zimekuwa Kama faza krisimasi anagawa popukoni
Yaani ni hatari sana!!ni sandakalawe ndio maana unakuta wengine majina yanaonekana mala mbili mbili!!na kinaonekana ni kitu cha kawaida tu, ki ukweli kuja kujinasua na hali hii labda wajukuu wetu!!!
 
Unategemea nini wakati mkurugenzi wa usalama wa taifa ni ndugu diwani? Na huyo jaffar apo amepwaya anafanya makosa mengi mengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…