We bana mambo ya no reform no election ni slogans za Chadema za miaka yote zisizo na kichwa wala miguu. Kwa sasa watu tunazungumzia uhalisia we unaleta no reform no election?Kibinafsi, mama kaferi pakubwa saaana na hajawahi na wala hatoweza kuvaa gwanda za Magufuli
Mikopo ni mingi na ilihali wamekuwa wakituaminisha makusanyo ni mara mbili ya JPM
Unajiuliza, kama ndivyo, pesa za mikopo zote hizo, ukijumlisha na mapato ya ndani, yoote kweli iishie kwenye miradi hiyo tu na bado haijakamilika?
Mikopo ya mama ni zaidi ya mikopo iliyowahi kukopwa na maraisi wote watano, maana yake, tumgeona ujenzi wa miradi mara mbili zaidi ya miradi iliyowahi kuwepo tangu uhuru
Inakuweje mikopo yote hiyo isitoshee hata kwenye miradi iliyopo?
Utanishawishi kwa lipi kumpigia kura Mama?
No reforms no election
Mtanyoka nyinyi mliosusia uchaguzi na mkatolewa,na sasa midomo juu na kampeni koko ya no reforms, mpaka 2030 mtakua mmenyooka kwelikweliMtanyoka tu
Hebu soma ulichoandikaHakuwa na ubavu wa kuitekekeza na wala hawezi kutelekeza mradi wowote ulioko kwenye utekelezaji.... Tatizo machawa ndio yanapenyeza agenda za kujipendekeza tu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua daraja la Kigongo- Busisi (KM 3) juu ya Maji linalounganisha wilaya za Misungwi na Sengerema ifikapo tarehe 19 Juni, 2025.
Taarifa hiyo imetolewa na Abdallah Ulega (MB) Waziri wa Ujenzi wakati akizungumza na waandishi wa habari katika hafla iliyofanyika katikati ya daraja hilo alipokua akielezea kazi zilizotekelezwa ndani ya kipindi cha miaka minne ya uongozi wa serikali ya awamu ya sita.
Aidha, amebainisha kuwa Serikali chini ya Wizara ya Ujenzi imefanikiwa sana kwenye ujenzi wa madaraja, barabara, vivuko na kurahisisha utoaji wa huduma kwa jamii pamoja na kukuza uchumi wa watanzania.
Ulega amesema pamoja na kukamilika kwa daraja hilo lililogharimu Bilioni 716, serikali ya awamu ya sita imejenga madaraja mengine mengi kama Tanzanite (KM 1) juu ya bahari, Wami (Mita 510), Kitengule (140 Mita), Msingi- Singida (Mita 100).
Amesema, daraja la Kigongo Busisi limejengwa na kampuni ya CCECC kwa kushirikiana na wataalamu wazawa ambao ni wabobevu kwenye kazi hizo na kwamba nchi za jirani wajiandae kwa neema ya barabara hiyo.
Aidha, amebainisha kuwa daraja hilo lina uwezo wa kupitisha magari zaidi ya elfu 20 kwa siku na kwa dakika 3 hadi 5 tu gari itakua imeshavuka kutoka upande mmoja na mwingine.
Vilevile, amefafanua kuwa kwa umahiri wa Rais Samia amefanisha kukamilisha daraja hilo ambalo wakati anaingia madarakani lilikua limejengwa kwa asilimia 25 tu lakini serikali yake imekamilisha asilimia 75 zilizobaki kwa kulipa zaidi ya Bilioni 500.
Vilevile Waziri Ulega amebainisha uwezo wa daraja hilo kuwa lina uwezo wa kubeba gari zenye uzito usiozidi tani 160 kwa wakati mmoja sawa na magari manne yenye tani zaidi ya 45 na amewataka wananchi kulinda rasilimali za daraja hilo na miundombinu mingine kwa manufaa ya watanzania wote.
Sambamba na madaraja amefafanua kuwa mtandao wa barabara umeongezeka kutoka Kilomita elfu 36 hadi 37. 4 kutokana na kupandishwa kwa hadhi ya barabara kutoka wilaya kwenda kuwa za mikoa huku akizitaja barabara za Mbambabay (KM 66), Kigoma-Kasulu (KM) 100
View attachment 3360818
View attachment 3360820
Kwa maneno aliokua anayatamka hayati it sound he knew kwamba ATAKUFA na alihisi kwamba akiondoka miradi ile ingeweza kusimama; unakumbuka wakati anampiga mkwara mkandarasi kwamba apunguze muda from 48 months to 36? Alitamka kwamba kamlipa pesa zaidi, so hata angekua nani, daraja lingekwisha. Tuizungumzie SGR, ule sasa ndio mfupa.Mnakataa nini mnakubali nini!!?
Hapo atakutana naRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua daraja la Kigongo- Busisi (KM 3) juu ya Maji linalounganisha wilaya za Misungwi na Sengerema ifikapo tarehe 19 Juni, 2025.
Taarifa hiyo imetolewa na Abdallah Ulega (MB) Waziri wa Ujenzi wakati akizungumza na waandishi wa habari katika hafla iliyofanyika katikati ya daraja hilo alipokua akielezea kazi zilizotekelezwa ndani ya kipindi cha miaka minne ya uongozi wa serikali ya awamu ya sita.
Aidha, amebainisha kuwa Serikali chini ya Wizara ya Ujenzi imefanikiwa sana kwenye ujenzi wa madaraja, barabara, vivuko na kurahisisha utoaji wa huduma kwa jamii pamoja na kukuza uchumi wa watanzania.
Ulega amesema pamoja na kukamilika kwa daraja hilo lililogharimu Bilioni 716, serikali ya awamu ya sita imejenga madaraja mengine mengi kama Tanzanite (KM 1) juu ya bahari, Wami (Mita 510), Kitengule (140 Mita), Msingi- Singida (Mita 100).
Amesema, daraja la Kigongo Busisi limejengwa na kampuni ya CCECC kwa kushirikiana na wataalamu wazawa ambao ni wabobevu kwenye kazi hizo na kwamba nchi za jirani wajiandae kwa neema ya barabara hiyo.
Aidha, amebainisha kuwa daraja hilo lina uwezo wa kupitisha magari zaidi ya elfu 20 kwa siku na kwa dakika 3 hadi 5 tu gari itakua imeshavuka kutoka upande mmoja na mwingine.
Vilevile, amefafanua kuwa kwa umahiri wa Rais Samia amefanisha kukamilisha daraja hilo ambalo wakati anaingia madarakani lilikua limejengwa kwa asilimia 25 tu lakini serikali yake imekamilisha asilimia 75 zilizobaki kwa kulipa zaidi ya Bilioni 500.
Vilevile Waziri Ulega amebainisha uwezo wa daraja hilo kuwa lina uwezo wa kubeba gari zenye uzito usiozidi tani 160 kwa wakati mmoja sawa na magari manne yenye tani zaidi ya 45 na amewataka wananchi kulinda rasilimali za daraja hilo na miundombinu mingine kwa manufaa ya watanzania wote.
Sambamba na madaraja amefafanua kuwa mtandao wa barabara umeongezeka kutoka Kilomita elfu 36 hadi 37. 4 kutokana na kupandishwa kwa hadhi ya barabara kutoka wilaya kwenda kuwa za mikoa huku akizitaja barabara za Mbambabay (KM 66), Kigoma-Kasulu (KM) 100
View attachment 3360818
View attachment 3360820
No reform no electionRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua daraja la Kigongo- Busisi (KM 3) juu ya Maji linalounganisha wilaya za Misungwi na Sengerema ifikapo tarehe 19 Juni, 2025.
Taarifa hiyo imetolewa na Abdallah Ulega (MB) Waziri wa Ujenzi wakati akizungumza na waandishi wa habari katika hafla iliyofanyika katikati ya daraja hilo alipokua akielezea kazi zilizotekelezwa ndani ya kipindi cha miaka minne ya uongozi wa serikali ya awamu ya sita.
Aidha, amebainisha kuwa Serikali chini ya Wizara ya Ujenzi imefanikiwa sana kwenye ujenzi wa madaraja, barabara, vivuko na kurahisisha utoaji wa huduma kwa jamii pamoja na kukuza uchumi wa watanzania.
Ulega amesema pamoja na kukamilika kwa daraja hilo lililogharimu Bilioni 716, serikali ya awamu ya sita imejenga madaraja mengine mengi kama Tanzanite (KM 1) juu ya bahari, Wami (Mita 510), Kitengule (140 Mita), Msingi- Singida (Mita 100).
Amesema, daraja la Kigongo Busisi limejengwa na kampuni ya CCECC kwa kushirikiana na wataalamu wazawa ambao ni wabobevu kwenye kazi hizo na kwamba nchi za jirani wajiandae kwa neema ya barabara hiyo.
Aidha, amebainisha kuwa daraja hilo lina uwezo wa kupitisha magari zaidi ya elfu 20 kwa siku na kwa dakika 3 hadi 5 tu gari itakua imeshavuka kutoka upande mmoja na mwingine.
Vilevile, amefafanua kuwa kwa umahiri wa Rais Samia amefanisha kukamilisha daraja hilo ambalo wakati anaingia madarakani lilikua limejengwa kwa asilimia 25 tu lakini serikali yake imekamilisha asilimia 75 zilizobaki kwa kulipa zaidi ya Bilioni 500.
Vilevile Waziri Ulega amebainisha uwezo wa daraja hilo kuwa lina uwezo wa kubeba gari zenye uzito usiozidi tani 160 kwa wakati mmoja sawa na magari manne yenye tani zaidi ya 45 na amewataka wananchi kulinda rasilimali za daraja hilo na miundombinu mingine kwa manufaa ya watanzania wote.
Sambamba na madaraja amefafanua kuwa mtandao wa barabara umeongezeka kutoka Kilomita elfu 36 hadi 37. 4 kutokana na kupandishwa kwa hadhi ya barabara kutoka wilaya kwenda kuwa za mikoa huku akizitaja barabara za Mbambabay (KM 66), Kigoma-Kasulu (KM) 100
View attachment 3360818
View attachment 3360820
Duh..🤔😏😔✌🏿💪🏿Duru zinaonyesha, Rais Samia anahofu ya kua endapo watalipa jina la JPM Daraja Hilo la Kigongo Busisi , kutaliendeleza jina la Magufuli .
Mama anapigwa kote kote!!.
Hivi hii siyo kazi ya Mwendazake kweli?Ulega amesema pamoja na kukamilika kwa daraja hilo lililogharimu Bilioni 716, serikali ya awamu ya sita imejenga madaraja mengine mengi kama Tanzanite (KM 1) juu ya bahari, Wami (Mita 510),
ivi unadhani magufhri asingefanya maamjzi magumu Hawa wasasa awala wasingefikilia kuanza hiyo miradi Bali wameikamilisha kwa kuwa hawakiwa na jimsiTatizo hamfikiri vizuri,maza angeitelekeza ingekamilika?..hiyo sgr huyo Mungu wenu aliiacha 30%,hilo daraja liliachwa %ngapi?
Porojo porojo tu,yaani mkandarasi umounguzie muda kwa miezi 12(mwaka),kwani muda wa mwanzo mlikubaliana vipi?!Kwa maneno aliokua anayatamka hayati it sound he knew kwamba ATAKUFA na alihisi kwamba akiondoka miradi ile ingeweza kusimama; unakumbuka wakati anampiga mkwara mkandarasi kwamba apunguze muda from 48 months to 36? Alitamka kwamba kamlipa pesa zaidi, so hata angekua nani, daraja lingekwisha. Tuizungumzie SGR, ule sasa ndio mfupa.
We fala, jakaya alishakubaliana na wachina kujenga sgr,alishaleta wabrazili kufanya feasibility study bwawa la stigillerH
ivi unadhani magufhri asingefanya maamjzi magumu Hawa wasasa awala wasingefikilia kuanza hiyo miradi Bali wameikamilisha kwa kuwa hawakiwa na jimsi
Hahaaa!We bana mambo ya no reform no election ni slogans za Chadema za miaka yote zisizo na kichwa wala miguu. Kwa sasa watu tunazungumzia uhalisia we unaleta no reform no election?
Hata kwa Magufuli mlisema anakopa sana.