Rais Samia anatarajiwa kuzindua daraja la Magufuli, Kigongo - Busisi Juni 19 2025

....ajenge ya kwake nayeye
1. Mtue Ndoo Mama ( miradi ya Maji Safi nchi nzima)
2. Alama za mitaa nchi nzima
3.Mradi wa kuchora upya mipaka ya nchi
4. Mradi wa kununua Umeme kwa bei nafuu kutoka Nje
5. Upanuzi wa mtandao wa njia za Mwendokasi jijini Dar es Salaam
6. Kuwezesha Makampuni binafsi kuuza korosho kwenye SGR (PPP)
7. Mradi wa kuzalisha na kuuza mbegu za avocado kwa ruzuku (PPP)
8. Mradi wa kukusanya mapato ya kusaidia nchi bila shuruti kupitia miamala!
9. Kuaminika kukopesheka kama nchi kiasi cha kuweka utaratibu wa zabuni kwa wanaojisikia wanaweza kutukopesha.
10. 4R za Mama.
11. Mradi wa tiba za kibingwa kutoka Havana -Cuba kwa uratibu wa Wizara ya Nje na balozi wa huko
12....
13....
....
..https://panganidc.go.tz/storage/app/uploads/public/67a/6f3/4c8/67a6f34c8f628188899539.pdf
 
Huu ujinga wote uliouandika hapo unazidiwa na mladi mmoja tu wa Magufuri
 
Nimegundua huna unacho kijua kuhusu historia ya hilo daraja.
Kabla ya ujenzi panakua na uchambuzi yakinifu na kujua lini mradi utaanza na kuisha, huwezi kubaliana nae mradi ukamilike kwa miezi 48,halafu katikati ya kazi umwambie amalize ndani ya miezi 32
 
Write your reply...hongera jpm kwa kuthubutu na hongera samia kwa kumilizia kaz
 
Kazi nzuri .

Ila Muhimu No reform No Election
 
Hahaaa!

Mkuu, kwani na wewe unabisha kwamba mama kakopa mkopo mkubwa kushinda awamu zote tano zilizomtangulia na kazi aliyo fanya ni ndogo saaana ukilinganisha na waliokopa theruthi ya mkppo wote aliokopa?
Sa kwani si na kwa Magufuli mlisema kakopa kuliko awamu zote au?

Inshu ni kwamba hii nchi alivokufa Magufuli tuliingia cha kike. Sioni mtu pale wa kuvivaa viatu vya Magufuli zile suluari pale zote ni mijambazi tupu. Maza by chance aliukwaa urais na as long as hakuna uharibifu wa kunistua ngoja amalize awamu zake ajisepe ali mradi miradi ya Magufuli inatembea.

By the time anamaliza awamu zake labda mwenye nafuu atakuwa ashajitokeza.
 
Imebidi nikuheshimu kwa sababu ya upande mmoja kuwa mkweli

Hivo tu yaani, Magufuli nilimpa kura yangu nikitokea Chadema na sikuwahi kuipenda ccm ila Magufuli

Kwa sasa nasimama na ✌

No reforms no election
 
Tutegemee mipasho ya taarab kama kawa!
 
 
Kabla ya ujenzi panakua na uchambuzi yakinifu na kujua lini mradi utaanza na kuisha, huwezi kubaliana nae mradi ukamilike kwa miezi 48,halafu katikati ya kazi umwambie amalize ndani ya miezi 32
Uchambuzi yakinifu ndio Upembuzi yakinifu au vitu viwili tofauti?.... 😳 🤔
 
Akitoka huko apitilize Saudi Arabia kwenda kuhiji kwenye kaburi la role model wake Iddi Amini Dada.
 
Kwa maoni yangu... Umezungumza vema sana
 
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema jina rasmi la daraja la Kigongo - Busisi atalitoa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan atakapokwenda kwenye uzinduzi rasmi wa daraja hilo.
 
Watakuwa wametukosea adabu wasukuma kwa kiwango Cha Rami, Bora kama wakikosa Jina waliite Ng'wanamalundi Bridge 🌉
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…