Hili Daraja kama sio wale wabakaji lisinge Isha . Ubakaji hoyeeRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua daraja la Kigongo- Busisi (KM 3) juu ya Maji linalounganisha wilaya za Misungwi na Sengerema ifikapo tarehe 19 Juni, 2025.
Taarifa hiyo imetolewa na Abdallah Ulega (MB) Waziri wa Ujenzi wakati akizungumza na waandishi wa habari katika hafla iliyofanyika katikati ya daraja hilo alipokua akielezea kazi zilizotekelezwa ndani ya kipindi cha miaka minne ya uongozi wa serikali ya awamu ya sita.
Aidha, amebainisha kuwa Serikali chini ya Wizara ya Ujenzi imefanikiwa sana kwenye ujenzi wa madaraja, barabara, vivuko na kurahisisha utoaji wa huduma kwa jamii pamoja na kukuza uchumi wa watanzania.
Ulega amesema pamoja na kukamilika kwa daraja hilo lililogharimu Bilioni 716, serikali ya awamu ya sita imejenga madaraja mengine mengi kama Tanzanite (KM 1) juu ya bahari, Wami (Mita 510), Kitengule (140 Mita), Msingi- Singida (Mita 100).
Amesema, daraja la Kigongo Busisi limejengwa na kampuni ya CCECC kwa kushirikiana na wataalamu wazawa ambao ni wabobevu kwenye kazi hizo na kwamba nchi za jirani wajiandae kwa neema ya barabara hiyo.
Aidha, amebainisha kuwa daraja hilo lina uwezo wa kupitisha magari zaidi ya elfu 20 kwa siku na kwa dakika 3 hadi 5 tu gari itakua imeshavuka kutoka upande mmoja na mwingine.
Vilevile, amefafanua kuwa kwa umahiri wa Rais Samia amefanisha kukamilisha daraja hilo ambalo wakati anaingia madarakani lilikua limejengwa kwa asilimia 25 tu lakini serikali yake imekamilisha asilimia 75 zilizobaki kwa kulipa zaidi ya Bilioni 500.
Vilevile Waziri Ulega amebainisha uwezo wa daraja hilo kuwa lina uwezo wa kubeba gari zenye uzito usiozidi tani 160 kwa wakati mmoja sawa na magari manne yenye tani zaidi ya 45 na amewataka wananchi kulinda rasilimali za daraja hilo na miundombinu mingine kwa manufaa ya watanzania wote.
Sambamba na madaraja amefafanua kuwa mtandao wa barabara umeongezeka kutoka Kilomita elfu 36 hadi 37. 4 kutokana na kupandishwa kwa hadhi ya barabara kutoka wilaya kwenda kuwa za mikoa huku akizitaja barabara za Mbambabay (KM 66), Kigoma-Kasulu (KM) 100
View attachment 3360818
View attachment 3360820
Yeah uzuri hawakuistopisha na wametembea nayo vyema. Nasikia na SGR wanapeleka hadi Kigoma.Hiyo miradi ya magu kama ingekuwa haijaanza kutekelezwa wanaipiga stop Walishindwa tu ila hawakupenda hilo daraja lijengwe.
Hakuna mradi ulioasisiwa na magufuli, mipango ya hiyo miradi ipo siku nyingi,hata brt ni mpango wa mkapa, lakini akatekeleza kikweteSamia na Serikali yake abuni yake, mbona hatujasikia kuanzishwa kwa miradi mipya ya kimkakati, kila siku tunasikia 'umaliziaji' miradi ya Magufuli?
Serikali ya awamu ijayo itamalizia miradi gani iwapo yeye hajabuni na kuasisi miradi mipya kama aliyoianzisha mwenzaje?
Kusema 'je kama angeitekekeza':
kwa sababu imeanzishwa na Serikali kisha yeye akaitelekeza, ingelikuja kukamilishwa na awamu zinazofuata.
Dah!Hakuna mradi ulioasisiwa na magufuli, mipango ya hiyo miradi ipo siku nyingi,hata brt ni mpango wa mkapa, lakini akatekeleza kikwete
Mahitaji ya nchi hayadundi kama tenesi,ni yaleyale,so mipango ni ileileDah!
Samia kaasisi mradi gani sasa?
Mbunge yupi wa Kanda ya ziwa unayemuongelea,msukuma alishatoa pendekezo kuwa serikali iweke tozo kwenye daraja hiliKuna taarifa ya uzinduzi wa daraja la Kigongo Busisi June 19.
Waziri wa ujenzi ametoa taarifa ya uzinduzi wa daraja la kigongo Busisi almaarufu kama daraja la JPM siku ya tarehe 19 June utakaofanywa na Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Waziri pia ametoa taarifa ya uwezekano wa mchakato wa kuweka tozo .
Kama ni kweli hii ya uwekaji wa tozo watakuwa wanawaonea sana wananchi wa kanda ya ziwa.
Kwanini madaraja mengine kama daraja la Wami ,daraja la Mkapa,daraja la Tanzanite na daraja la kilombero hawakuweka tozo?
Wabunge na wananchi wa kanda ya ziwa wasikubali huu mpango au huu mpango wa tozo uwekwe kwenye madaraja yote Tanzania.
Tastizo wa Bunge hawachaguliwi na wananchi kwahiyo hata wakiwasngeuka hawaogopi, ubunge wao uko pale pale, ndo maana tunaseme hi kampaini ya "no reforms no election" ni muhimu sanaa kwa raia wote, kura ya mwananchi iwe na thamaaniKuna taarifa ya uzinduzi wa daraja la Kigongo Busisi June 19.
Waziri wa ujenzi ametoa taarifa ya uzinduzi wa daraja la kigongo Busisi almaarufu kama daraja la JPM siku ya tarehe 19 June utakaofanywa na Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Waziri pia ametoa taarifa ya uwezekano wa mchakato wa kuweka tozo .
Kama ni kweli hii ya uwekaji wa tozo watakuwa wanawaonea sana wananchi wa kanda ya ziwa.
Kwanini madaraja mengine kama daraja la Wami ,daraja la Mkapa,daraja la Tanzanite na daraja la kilombero hawakuweka tozo?
Wabunge na wananchi wa kanda ya ziwa wasikubali huu mpango au huu mpango wa tozo uwekwe kwenye madaraja yote Tanzania.
alale panapo stahili, hizo ni kodi zetu, hajatoa hela mfukoni kwakeDah ila jpm...aisee...basi tu. Mungu amlaze pema.
hahaa aisee hii chuki yenu mtakufa nayo. silmisema kalisusa kulijenga , magufuli wakati anakufa kaliacha asilimia chache mno la ujenzi wake. Samia angeamua kuliacha wala msingemfanya lolote.Analazimisha upumbavu huo maana watu hatumtaki hilo daraja ni la magufuli sio yeye bora ampe hiyo nafasi yule punguani Mwenzake Musukuma darasa la Saba walau nimtanganyika mwenzetu pia ni mwanaume yeye analidhalilisha hili taifa burukenge huyo