Kuna haya masuala 2 yanamuweka rais Samia njia panda ktk nia yake ya kusaka kipindi cha pili cha urais.
1. Kubinafsisha bandari.
2. Kupiga marufuku uuzaji wa mazao nje ya nchi.
Ikumbukwe kauli ya rais mstaafu Kikwete aliwahi kusema "2025 mgombea wetu (ccm) wa urais atakuwa mhe. Samia, labda kutokea shida sana".
Ndugu wanaJF hamuoni kuwa rais Samia ashaingia kwenye shida?? Tanganyika Kuna fitina za kisiasa za kutisha.
Yangu macho.!