Kupiga marufuku mazao namuunga mkono...Kuna haya masuala 2 yanamuweka rais Samia njia panda ktk nia yake ya kusaka kipindi cha pili cha urais.
1. Kubinafsisha bandari.
2. Kupiga marufuku uuzaji wa mazao nje ya nchi.
Ikumbukwe kauli ya rais mstaafu Kikwete aliwahi kusema "2025 mgombea wetu (ccm) wa urais atakuwa mhe. Samia, labda kutokea shida sana".
Ndugu wanaJF hamuoni kuwa rais Samia ashaingia kwenye shida?? Tanganyika Kuna fitina za kisiasa za kutisha.
Yangu macho.!
Uliowataja hapo ndiyo wanaopinga bandari peke yao mkuu?Kupiga marufuku mazao namuunga mkono...
La Bandari wanaompinga wote wanajua kabisa ukweli bandari hazijauzwa ...anabadilishwa muendeshaji kutoka Ticts aliekaa miaka 25 kuja huyo Dpworld...
Kilichopo ni fitina Tu za kisiasa..
Kampeni ya kumchafua asigombee 2025...
Polycarp Pengo +Dr Slaa na Mgombea wao wanaemtaka 2025...ndo wako behind ya hizi fitina..
Kumbuka anything happening Kwa Samia..anae rithi ni Philip Mpango...
Mkatoliki aliesomea seminary...
We are watching.....
Hahaaaaaa....heheeeeee😁😁😁😁Kupiga marufuku mazao namuunga mkono...
La Bandari wanaompinga wote wanajua kabisa ukweli bandari hazijauzwa ...anabadilishwa muendeshaji kutoka Ticts aliekaa miaka 25 kuja huyo Dpworld...
Kilichopo ni fitina Tu za kisiasa..
Kampeni ya kumchafua asigombee 2025...
Polycarp Pengo +Dr Slaa na Mgombea wao wanaemtaka 2025...ndo wako behind ya hizi fitina..
Kumbuka anything happening Kwa Samia..anae rithi ni Philip Mpango...
Mkatoliki aliesomea seminary...
We are watching.....
Nilikuwa nahisi haukuwa smart kihivyo tangu siku nyingi. Ulichoandika hapo kinathibitishaKupiga marufuku mazao namuunga mkono...
La Bandari wanaompinga wote wanajua kabisa ukweli bandari hazijauzwa ...anabadilishwa muendeshaji kutoka Ticts aliekaa miaka 25 kuja huyo Dpworld...
Kilichopo ni fitina Tu za kisiasa..
Kampeni ya kumchafua asigombee 2025...
Polycarp Pengo +Dr Slaa na Mgombea wao wanaemtaka 2025...ndo wako behind ya hizi fitina..
Kumbuka anything happening Kwa Samia..anae rithi ni Philip Mpango...
Mkatoliki aliesomea seminary...
We are watching.....
Wakatoliki wana run the world.Kupiga marufuku mazao namuunga mkono...
La Bandari wanaompinga wote wanajua kabisa ukweli bandari hazijauzwa ...anabadilishwa muendeshaji kutoka Ticts aliekaa miaka 25 kuja huyo Dpworld...
Kilichopo ni fitina Tu za kisiasa..
Kampeni ya kumchafua asigombee 2025...
Polycarp Pengo +Dr Slaa na Mgombea wao wanaemtaka 2025...ndo wako behind ya hizi fitina..
Kumbuka anything happening Kwa Samia..anae rithi ni Philip Mpango...
Mkatoliki aliesomea seminary...
We are watching.....
Matatizo anayataka mwenyewe, katika uchaguzi huru na haki inawezekana akaongoza lakini kwa haya anayoyafanya Mungu amemnyima Kibali , taifa la watu mL 60 unakosaje washauri wa mambo mazito kama ayaKuna haya masuala 2 yanamuweka rais Samia njia panda ktk nia yake ya kusaka kipindi cha pili cha urais.
1. Kubinafsisha bandari.
2. Kupiga marufuku uuzaji wa mazao nje ya nchi.
Ikumbukwe kauli ya rais mstaafu Kikwete aliwahi kusema "2025 mgombea wetu (ccm) wa urais atakuwa mhe. Samia, labda kutokea shida sana".
Ndugu wanaJF hamuoni kuwa rais Samia ashaingia kwenye shida?? Tanganyika Kuna fitina za kisiasa za kutisha.
Yangu macho.!
Msiri au mjinga ?Matatizo anayataka mwenyewe, katika uchaguzi huru na haki inawezekana akaongoza lakini kwa haya anayoyafanya Mungu amemnyima Kibali , taifa la watu mL 60 unakosaje washauri wa mambo mazito kama aya
Tatizo bi mkubwa hutaka kujifanya msiri kumbe nchi ina watu makini wanamchora,
Kivipi?Wakatoliki wana run the world.
Kivyovyote.Kivipi?
Hata wafanyeje hawatafanikiwaKuna haya masuala 2 yanamuweka rais Samia njia panda ktk nia yake ya kusaka kipindi cha pili cha urais.
1. Kubinafsisha bandari.
2. Kupiga marufuku uuzaji wa mazao nje ya nchi.
Ikumbukwe kauli ya rais mstaafu Kikwete aliwahi kusema "2025 mgombea wetu (ccm) wa urais atakuwa mhe. Samia, labda kutokea shida sana".
Ndugu wanaJF hamuoni kuwa rais Samia ashaingia kwenye shida?? Tanganyika Kuna fitina za kisiasa za kutisha.
Yangu macho.!
Rudi shuleKivyovyote.
Nipe namba ya usajili.Rudi shule
Samia ameshapitishwa na chama chake kugombea 2025, sijui we unaongelea Samia yupi. Hayo ni mawazo yako, hakuna shida yoyoye na haitatokea, Mama ndiyo rais wetu kwa kipindi cha 2025-2030.Kuna haya masuala 2 yanamuweka rais Samia njia panda ktk nia yake ya kusaka kipindi cha pili cha urais.
1. Kubinafsisha bandari.
2. Kupiga marufuku uuzaji wa mazao nje ya nchi.
Ikumbukwe kauli ya rais mstaafu Kikwete aliwahi kusema "2025 mgombea wetu (ccm) wa urais atakuwa mhe. Samia, labda kutokea shida sana".
Ndugu wanaJF hamuoni kuwa rais Samia ashaingia kwenye shida?? Tanganyika Kuna fitina za kisiasa za kutisha.
Yangu macho.!
Haitatokea labda siyo CCM ninayoifahamu.Ukiwa Rais wa JMT kupitia CCM, halafu ukatolewa ugombea awamu ya pili... Ni uzembe wako.
Wanaompinga kwa suala la bandari Wana hoja za msingi zenye mashiko, tuache unafiki na ukada wa vyama kwenye suala hili.Kuna haya masuala 2 yanamuweka rais Samia njia panda ktk nia yake ya kusaka kipindi cha pili cha urais.
1. Kubinafsisha bandari.
2. Kupiga marufuku uuzaji wa mazao nje ya nchi.
Ikumbukwe kauli ya rais mstaafu Kikwete aliwahi kusema "2025 mgombea wetu (ccm) wa urais atakuwa mhe. Samia, labda kutokea shida sana".
Ndugu wanaJF hamuoni kuwa rais Samia ashaingia kwenye shida?? Tanganyika Kuna fitina za kisiasa za kutisha.
Yangu macho.!
Nyie majamaa mnatumika kuifanya hii nchi iwe maskini.Hata wafanyeje hawatafanikiwa
Tanzania iko makini sana siku hizi hasa katika kulinda interest zake kama Taifa
Kenya wanawatumia Maria Sarungi na Chadema kwa kuwa hawataki Bandari za Tanzania ziwe efficient zaidi kuliko za kwao.
Kwa huyo Pengo anajulikana wala hatusumbui tunayemjua. Hao wengine nia zao zinafahamika Rais anapokuwa wa dini isiyo yao.
Huenda kuna mpango wakumaliza kabisa na hao foes wake? Sidhani kama huo mpango ikiendelea hi nchi itabaki na amani. Jamani acheni Raisi aratibu kazi zake bila kimwekea fitna.Kupiga marufuku mazao namuunga mkono...