Rais Samia anatengenezewa shida/ugumu ili asigombee 2025?

Nyie majamaa mnatumika kuifanya hii nchi iwe maskini.

Kungekuwa na mauaji ya watu wa hovyo hadharani, machawa wa Samia wote mlipaswa kuuawa hadharani.

Katika maadui wakuu wa taifa letu, machawa mpo kwenye orodha.
Nani chawa wa Samia?

Tanzania inafanywa kuwa maskini na mawakala wa nchi jirani mnaotumika kui sabotage.

Samia anafanya vizuri sana kuitengeneza Tanzania kuwa the economic powerhouse ya Afrika.
 
Nani chawa wa Samia?

Tanzania inafanywa kuwa maskini na mawakala wa nchi jirani mnaotumika kui sabotage.

Samia anafanya vizuri sana kuitengeneza Tanzania kuwa the economic powerhouse ya Afrika.
Wewe na machawa wenzako wooote ni maadui wa taifa.

Mnapaswa kukatishwa pumzi.
 
2. Je ikiwa Ticts walikaa 25yrs, DPw wana mkataba wa miaka mingapi?

3. Kuhusu Mpango kurithi hili Mungu alijua but kama alishiriki kumuondoa Jiwe naye ajiandae kuondolewa...hilo silijui...wewe wasema
 
Unatanguliza sana udini ambao hauna maana na ikipiganwa vita ya udini , kwa Tanzania uislam hautoboi
 
Kwahiyo shida Sana ameshafika.....
 
Nayeye amekubali?
 
Mt
Pengo muacheni
 
 
Hata hivyo hafai, Malawi waliukataa huuu ujinga wa kuongozwa na mwanamke
 
Sasa wewe unaona hizo ni shida? Yule alimaanisha kama maradhi makubwa au kifo siyo hiyo michezo michafu na propaganda zinazochochewa na akina Mbowe.
 
2. Je ikiwa Ticts walikaa 25yrs, DPw wana mkataba wa miaka mingapi?

3. Kuhusu Mpango kurithi hili Mungu alijua but kama alishiriki kumuondoa Jiwe naye ajiandae kuondolewa...hilo silijui...wewe wasema
Kwani mkataba wa uendeshaji Bandari umeshaingiwa?
 
Kwenye kutaka mgombea wanaemtaka mkuu watashangazwa hata ikitokea ajali ya kisiasa nipo pale[emoji117]
 
Samia ameshapitishwa na chama chake kugombea 2025, sijui we unaongelea Samia yupi. Hayo ni mawazo yako, hakuna shida yoyoye na haitatokea, Mama ndiyo rais wetu kwa kipindi cha 2025-2030.
Narudia tena wewe ni nabii au ni Mungu? Unafahamu nini mawazo ya Mungu?
 
atatumia TISS iliyoruhusiwa kuua
 
Hakuna mwenye ubavu ndani ya CCM wa kumzuia SSH kugombea 2025 kiti cha uraisi na kama yupo afanye kama anajikuna aone. Anapaswa kuweka wazi haya mazogo yanayo mkabili moja Kwa moja haswa la ubinafsishaji wa Mali za umma Kwa waarabu na ukizingatia yupo na nasaba nao. Bado wanaCCM hawana nguvu ya kumpigania Kwa haya mazonge zaidi ya vibaraka tu ndiyo wanajenga network ya connections ya vyeo almost all NEC members are silence right now.
 
Anatengenezewa na nani? Yeye mwenyewe hajui kupima mambo? Sisi kina mama tumeanza kuwa disappointed nae [emoji20][emoji3525]. Tulihisi ametutoa kimasomaso, kadhihirisha tu kuwa sisi kumbe bado hatuna uwezo wa kuongoza taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…