Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Ndio maana nikakuuliza hilo swali ili nijue naanzia wapi kutoa hoja kutegemeana uelewa wako kuhusu mambo ya Kodi.Toa hoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana nikakuuliza hilo swali ili nijue naanzia wapi kutoa hoja kutegemeana uelewa wako kuhusu mambo ya Kodi.Toa hoja
Tukisema kodi hatumaanishi consumption taxes kama VAT, hizo hata mtoto mdogo hulipa. Tunamaanisha income taxes/corporate taxes.
Na hata hiyo VAT techinically wewe hulipi kama unanunua kwa Mangi, threshold ya mauzo ya ulipajo wa VAT ni milioni 200 za kitanzania kwa bidhaa zilizoqualify VAT. Mangi analipa income tax tu ya biashara yake tena kwa makadirio.
Mlolongo wa VAT mara nyingi unaishia kwa maduka makubwa ya jumla katika nchi yetu au kwa manunuzi ya moja kwa moja kwenye kampuni kubwa kama mitandao ya simu.
Bado wananchi wengi hawana uelewa wa kodi na post yako inaonyesha hilo.
TLDR: Kuwa mnunuzi haimanishi wewe ni mlipa kodi
Unafikiri kuna anaeweza kujibu haya?...si umeona hata humu watu wamekaa mbali....1. Mmiliki wa Jengo yupo wapi?
NANI NI MMILIKI WAJENGO.
2. Ramani za jengo ziko wapi??
Uokozi bila Ramani.
3. Ghorofa nne watu wanaokolewa siku nne na sio moja. TAIFA LIMEOZA.
4. Selikali ipo Radhi kununua Mabomu, magali ya Jeshi nk kuizuia CHADEMA na Inashindwa KUNUNUA VIFAA VYA UOKOAJI kwa Raia wake.
5. Niffer amejipeleka Kituoni, Yuko wapi mmliki wa Jengo.
6. Je ni nani aliyetoa vibali vya kujenga na kubomoa anakamatwa Niffer.
TANZANIA YANGU MASIKINI
ZIMA MOTO NA UOKOAJI NI SAWA NA HAKUNA KITU ZERO KABISA.
JESHI LIVUNJWE HARAKA
MAJENGO MENGI KARIAKOO YAMEOZA
Ngoja nimuite mtaalamu wa maswala ya uchumi Mayor Quimby atuambie kama vat siyo kodi
TRA Tanzania wanamsemo wao wa ukiuza toa risiti na ukinunua dai risiti lipa kodi kwa maendeleo ya taifa
Kwa maneno haya ya tra ni wazi ukinunua kitu ukachukua risiti umelipa kodi
Sidhani, labda ungesema tu Mama Samia anaongelea Direct Tax basi ila kuanza kusema mteja akilipa VAT anakua hajalipa kodi huku ukijua kabisa VAT ni shiftable tax kuanzia kiwandani mpaka mteja wa mwisho ile bei anayouziwa inakua VAT inclusive sasa kivipi mteja huyo umwambie hajalipa kodi?Tukisema kodi hatumaanishi consumption taxes kama VAT, hizo hata mtoto mdogo hulipa. Tunamaanisha income taxes/corporate taxes.
Na hata hiyo VAT techinically wewe hulipi kama unanunua kwa Mangi, threshold ya mauzo ya ulipajo wa VAT ni milioni 200 za kitanzania kwa bidhaa zilizoqualify VAT. Mangi analipa income tax tu ya biashara yake tena kwa makadirio.
Mlolongo wa VAT mara nyingi unaishia kwa maduka makubwa ya jumla katika nchi yetu au kwa manunuzi ya moja kwa moja kwenye kampuni kubwa kama mitandao ya simu.
Bado wananchi wengi hawana uelewa wa kodi na post yako inaonyesha hilo.
TLDR: Kuwa mnunuzi haimanishi wewe ni mlipa kodi
Baada kuiuliza ChatGPT kuwa "Je mnunuzi ni mlipa kodi?". Haya ndiyo majibu yake:-Najiuliza takwimu ya walipakodi wa Tanzania kutozidi milioni mbili imetoka wapi?
- Ninapoenda dukani kwa Shayo kununua sukari na dawa ya mbu nalipa kodi
- Ninapokata tiketi ya basi au treni nalipa kodi
- Ninaponunua LUKU nalipa kodi
- Ninaponunua wese la gari nalipa kodi
- Nikienda kutibiwa nalipa kodi.
Rais anajua anachokizungumza au ameambiwa bidhaa zote nchi nzima ni DUTY FREE?
Nenda TRA wana definition iliyo clear zaidi.Baada kuiuliza ChatGPT kuwa "Je mnunuzi ni mlipa kodi?". Haya ndiyo majibu yake:-
Ndio, mnunuzi anaweza kuwa mlipa kodi kulingana na aina ya biashara na mazingira ya kifedha. Hasa, katika muktadha wa biashara za bidhaa na huduma, kuna aina mbili kuu za kodi zinazoweza kuhusika:
1. Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT): Katika nchi nyingi, mnunuzi hulipa kodi hii wakati wa kununua bidhaa au huduma. Mfano ni katika nchi za EU, ambapo VAT inalipwa na mnunuzi, lakini biashara inayouza bidhaa inakusanya na kulipa kodi hii kwa serikali. Hii inamaanisha kuwa mnunuzi anaiona kama sehemu ya bei ya bidhaa au huduma anayonunua.
2. Kodi ya Mapato: Hii ni kodi inayohusiana na faida inayopatikana na mjasiriamali au biashara. Hata hivyo, mnunuzi mwenyewe haulipi kodi hii moja kwa moja, lakini ikiwa biashara itafanya vizuri, inaweza kuwa na athari kwenye bei za bidhaa na huduma, kwani biashara inaweza kupandisha bei ili kujilipa kwa kodi.
Katika baadhi ya nchi, kama vile Marekani, kuna pia sales tax (kodi ya mauzo), ambayo mnunuzi hulipa moja kwa moja kwa serikali wakati anaponunua bidhaa au huduma.
Kwa hivyo, ingawa mnunuzi ni mlipa kodi kwa upande wa VAT au sales tax, si kila aina ya kodi inahusisha mnunuzi moja kwa moja.
"Namuagiza waziri mkuu hili nalo mkaliangalie"Najiuliza takwimu ya walipakodi wa Tanzania kutozidi milioni mbili imetoka wapi?
- Ninapoenda dukani kwa Shayo kununua sukari na dawa ya mbu nalipa kodi
- Ninapokata tiketi ya basi au treni nalipa kodi
- Ninaponunua LUKU nalipa kodi
- Ninaponunua wese la gari nalipa kodi
- Nikienda kutibiwa nalipa kodi.
Rais anajua anachokizungumza au ameambiwa bidhaa zote nchi nzima ni DUTY FREE?
Kodi inalipwa na kila mwenye kufanya manunuzi na kupewa stakabadhi, nayo inaitwa VAT, kuna kodi inalipwa na wajasiriamali na wafanya biashara nayo ni kodi ya mauzo, huenda hiyo ndiyo anayozungumzia mheshimiwa raisi.Nenda TRA wana definition iliyo clear zaidi.
Consumer sio mlipa kodi.
Mfanyabiashara anaetoza kodi ya VAT kwa niaba yao ndio wanamtambua rasmi.
Wana definition yao ‘taxable person’ ni nani na hii ndio takwimu serikali inayotambua.
Hapana, ni rahisi tu kuelewa. Ni wewe unayetaka ku - complicate uelewa wa wengine sahihi walio nao..Najua ni ngumu kuelewa.
Na shida inaanzia hapa..Ukinunua kitu muuzaji ndio mlipa kodi sio mnunuzi, yeye ndio mwenye jukumu la KUKATA hiyo pesa uliompa na KUILIPA kwenda TRA. Yeye ndio MLIPA kodi “TAX PAYER.”
You are repeating the same mistake...Kwenye income kama mshahara wewe ndio mlipa kodi kwa sababu Pesa ZAKO ndio zinakatwa kwenye Stahiki zako au faida kwenye biashara yako. Ukishanunua bidhaa ile pesa si yako ni ya mwenye duka.
Na pesa anayolipa kodi huyu mwenye duka naye huwatwisha mzigo huo wanunuzi, final consumers..Risiti ipo kuhakikisha TRA wanapata rekodi sahihi ya mauzo ya mwenye duka ili yeye alipe kodi.
Atakuwa mwizi kwa sababu atakuwa amekusanya kodi toka kwa wanunuzi (final consumers) halafu yeye akakaa na pesa isiyo yake...!Mwenye duka asipopeleka VAT hiyo mwisho wa mwezi ataulizwa yeye kwa nini hajalipa kodi iliopaswa ikatwe kwenye mauzo YAKE.
Ukinunua kitu mnunuzi ndiye mlipa kodi wa VAT na unaikabidhi hiyo kodi kwa muuzaji. Muuzaji ni Tax agent/muwasilisha hiyo kodi.Najua ni ngumu kuelewa. Ukinunua kitu muuzaji ndio mlipa kodi sio mnunuzi, yeye ndio mwenye jukumu la KUKATA hiyo pesa uliompa na KUILIPA kwenda TRA. Yeye ndio MLIPA kodi “TAX PAYER.”
Mleta mada ametaka kujua raisi Samia anatoa wapi takwimu za walipa kodi. Kwa mtazamo wake yeye kila mwananchi analipia kodi ya VAT halafu serikali ina kuja na idadi ya watu kidogo.Kodi inalipwa na kila mwenye kufanya manunuzi na kupewa stakabadhi, nayo inaitwa VAT, kuna kodi inalipwa na wajasiriamali na wafanya biashara nayo ni kodi ya mauzo, huenda hiyo ndiyo anayozungumzia mheshimiwa raisi.
Na ukweli ndio huo mnunuzi wa mwisho ndiye anayebeba kodi yote ya ongezeko la thamani na mfanyabiashara ni wakala tu wa kukusanya hiyo kodi na kuipeleka traHapana, ni rahisi tu kuelewa. Ni wewe unayetaka ku - complicate uelewa wa wengine sahihi walio nao..
Na shida inaanzia hapa..
Si mwisho wa siku, hiyo kodi inajumuishwa kwenye gharama ya bidhaa hiyo na mnunuzi kubeba gharama hiyo..?
Ungesema kuwa mnunuzi analipa "indirect tax" ungeeleweka kirahisi...
You are repeating the same mistake...
Ungesema mwenye duka ni wakala (agent) wa TRA kukusanya kodi toka kwa final consumers ambao ni wateja wa kununua kiberiti, soda, pipi nk ungeeleweka...
Na pesa anayolipa kodi huyu mwenye duka naye huwatwisha mzigo huo wanunuzi, final consumers..
Atakuwa mwizi kwa sababu atakuwa amekusanya kodi toka kwa wanunuzi (final consumers) halafu yeye akakaa na pesa isiyo yake...!
Ahsante sana kwa elimu sahihi kwa walipakodiHapana, ni rahisi tu kuelewa. Ni wewe unayetaka ku - complicate uelewa wa wengine sahihi walio nao..
Na shida inaanzia hapa..
Si mwisho wa siku, hiyo kodi inajumuishwa kwenye gharama ya bidhaa hiyo na mnunuzi kubeba gharama hiyo..?
Ungesema kuwa mnunuzi analipa "indirect tax" ungeeleweka kirahisi...
You are repeating the same mistake...
Ungesema mwenye duka ni wakala (agent) wa TRA kukusanya kodi toka kwa final consumers ambao ni wateja wa kununua kiberiti, soda, pipi nk ungeeleweka...
Na pesa anayolipa kodi huyu mwenye duka naye huwatwisha mzigo huo wanunuzi, final consumers..
Atakuwa mwizi kwa sababu atakuwa amekusanya kodi toka kwa wanunuzi (final consumers) halafu yeye akakaa na pesa isiyo yake...!
NOTE: Kwa mifumo ya kodi duniani kote, watu wote wanalipa kodi ikiwemo mimba au mtoto wa mwaka mmoja so long as anatumia bidhaa zozote kv nguo, sabuni..
Kuna direct and indirect taxes. Zote hizi ni kodi na zinakwenda kwenye mfuko wa hazina ya taifa...
Hawa 2,000,000 wanaosemwa kama ndio walipa kodi wanaojulikana ni wale walio kwenye kundi la "direct tax". Wengine wote wako kwenye kundi la "indirect taxe"...
Lakini ni bahati mbaya tu kuwa wengi hata hawajui kuwa nao ni walipa kodi wazuri tena waaminifu kabisa kwa kuwa "indirect tax" haina longolongo, haikwepeki kwa kuwa imo kwenye mahitaji yetu ya kila siku tunayotumia....
Hivyo usitupotoshe brother. Tunaelewa vizuri sana...
Ndiyo maana kukawa na makundi mawili ya walipa kodi;Na ukweli ndio huo mnunuzi wa mwisho ndiye anayebeba kodi yote ya ongezeko la thamani na mfanyabiashara ni wakala tu wa kukusanya hiyo kodi na kuipeleka tra
Lakini anayetambulika kama mlipa kodi ni mfanyabiashara
Direct tax na indirect tax havipo sawa?Tukisema kodi hatumaanishi consumption taxes kama VAT, hizo hata mtoto mdogo hulipa. Tunamaanisha income taxes/corporate taxes.
Na hata hiyo VAT techinically wewe hulipi kama unanunua kwa Mangi, threshold ya mauzo ya ulipajo wa VAT ni milioni 200 za kitanzania kwa bidhaa zilizoqualify VAT. Mangi analipa income tax tu ya biashara yake tena kwa makadirio.
Mlolongo wa VAT mara nyingi unaishia kwa maduka makubwa ya jumla katika nchi yetu au kwa manunuzi ya moja kwa moja kwenye kampuni kubwa kama mitandao ya simu.
Bado wananchi wengi hawana uelewa wa kodi na post yako inaonyesha hilo.
TLDR: Kuwa mnunuzi haimanishi wewe ni mlipa kodi
Mnaweweseka tu km majuha..wewe muulizaji na wajinga wenzio..ni kweli hamuelewi TIN ndio jibu la unachouliza?? utalipa VAT,Income tax na kodi nyingine bila kuwa na TIN?Najiuliza takwimu ya walipakodi wa Tanzania kutozidi milioni mbili imetoka wapi?