Rais Samia anatumia mbinu zilizomuangusha Joyce Banda Malawi, na yeye anaweza kuanguka 2025

2. Kwanini ametoa bandari zote za bara tu
3. Kwanini usaijiwe na watu watatu tu kutoka visiwani
4. Kwanini hauonyeshe tutapata faida gani
5. Mikataba 17 aliyoisaini huko Dubai ni mali zipi zinatolewa
6. DP world walipatikana kwa njia zipi
7
Sasa wao badala ya kujibu hoja wanakimbilia kwenye udini na jinsia
 
Kweli uvccm Wana vijana wahovyo na wajinga sana
 
Sijui Kwa Nini waluguru wote ni malofa,mafala??
 
Serikali inaingiza UDINI kwenye jambo hili mimi sioni UDINI unaingilia wapi? Wajibu HOJA sio kulialia uzanzibari sijui uarabu
 
Tanzania tuijuayo...... this is just a phase mtasahau na nchi itaendelea mbele tena kwa kasi. DP World ni "fear if the unknown" acha wafanye tuone. Huyu SSH yupo mpk 2030 mkuu ramli yako rudia tena
 
Ni hoja murua iliyojaa umakini.

Pamoja na upambanaji kutetea haki, sikuwahi kufikiria kuwa Mdude ni makini kiasi hiki katika kujenga hoja.

Hoja imeshiba na iloyojaa nadharia ya ukweli.
 
Malawi haina Waswahili na watu wajinga, Tanzania asilimia 80 ya raia wakw ni Mzezeta wa kutupwa
 
tatizo la cdm hasa wewe Mdude_Nyagali hamna adabu hua mnaamini kua smart maana yake kuongea matusi, kejeli na ujinga ujinga. Mfano hapo ukisema MHESHIMIWA DKT SAMIA SULUHU umeona utapungukiwa kamasi au?
 
Acha porojo za kipuuzi wewe,usifananishe Samia na failures..

Kwanza akianguka unadhani Chadomo mnaweza kuja kushika Madaraka? Nani achague matapeli?
 
Atuachie nchi huyo bibi uwezo mdogo.
 
tatizo la cdm hasa wewe Mdude_Nyagali hamna adabu hua mnaamini kua smart maana yake kuongea matusi, kejeli na ujinga ujinga. Mfano hapo ukisema MHESHIMIWA DKT SAMIA SULUHU umeona utapungukiwa kamasi au?
Wajinga hao nyumbu achana nao ,umewahi ona Wana kipi kichwani mwako zaidi ya ulalamishi?

Zito anawashinda hao wooote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…