Rais Samia anatumia mbinu zilizomuangusha Joyce Banda Malawi, na yeye anaweza kuanguka 2025

Duh, bwashee umepiga za mbavu, sidhani kama atainuka, hii ni ko moja kw moja
 
Huna akili. Ungekuwa unawaza mbali usingeongea huu ujinga.
 
Mwananchi mwenyewe wa ku chachamaa yupo wapi. Huyu huyu anayeshunda akubashiri matokeo ya mechi kwa 1000 ili awe kama bahresa kesho yake baada ya kushinda ubashiri? Au huyu anaye hongwa kofia na tshert ili amchague mgombea wa ccm?
Tatizo lilipo ni kwamba hata hao wasio bet na kupewa tishet nao wapo mitandaoni na vijiweni wakilalamika tu basi ndio tofauti yao na hao wengine, na inapotokea kuhitishwa maandamano basi huwa wanategemea wenye kubet ndio waingie barabarani.
 
Wadini wakubwa nyie, samia ni mpaka atake mwenyewe kuondoka, ukiona unaumia sanaaaaa rudi kwenu burundiiiiiiii,
Tanzania ni ya watanzania nyie warundi haiwahusu, kama mumezoea fujo ni huko kwenuuuu hapa ni amani kwenda mbereeee
Ccm daima
Kwanini usimwambie Samia ndio aamue kuondokana na hao wadini aachie urais na kurudi Zanzibar akawe rais wa kule? Maana wadini huwa hawaendi kule kwao kugombea urais.
 
Naogopa sana watanganyika mnaenda kuipoteza nchi yenu

Mnajua kitu kimoja waarabu ni watu wa fujo na kusababisha machafuko kwenye nchi za watu

Wataharibu nchi yenu walete wapiganaji ili wamiliki ardhi yenu watangaze kuwa jamuhuri ya kiarabu
Bado hatujachelewa...kanisa linaandaa chuma kipya kinakuja soon
 
Wacha nikaanue nguo kwanza nipige pasi kesho kazini!!
 
Duuu, kule Speakers corner wameamua kupigana kabisa
 
Wewe jidanganye tu. Kamuzu banda na chama chake walipigwa chi miaka ya tisini ccm ilipigwa chini?
 
Huyu Maza sina uhakikavl kama anaamini impossible inaweza jibinua na kuwa possible. In real sense serikali yake ilitest kuuza wanyama Bunge la wananchi likachachamaa, waka mute. Mara dege kuuuuubwa likatua sehemu nyeti watu wakasimama kidete. Sasa huu wa bandari ni mwendelezo wa mazoea ya kudhani wabongo ni short memory ,CCM wakikomaza shingo issue haitakuwa ya hangaya soon watakaa bench
 
Samia anahusika 100% na uharamia tuliofanyiwa na wajomba zake, anajua kila kitu kilichoandikwa kwenye ule mkataba na makosa yake ndio maana hana cha kujitetea.
Na kama hajui, basi hafai kua raisi.
 
tatizo la cdm hasa wewe Mdude_Nyagali hamna adabu hua mnaamini kua smart maana yake kuongea matusi, kejeli na ujinga ujinga. Mfano hapo ukisema MHESHIMIWA DKT SAMIA SULUHU umeona utapungukiwa kamasi au?
Nyie watu kweli hamna hoja! Umepitia bandiko zima umekuta nondo tupu,ukaona uje na hii hoja ya majina? Mnachekesha sana nyie watu
 
Rais Samia ameshindwa kujibu hoja za wanaopinga mkataba huo

Samia, wataalamu na watu wengine wote waliomzunguka, wameshindwa kujibu hoja

Ukweli ni kwamba njia hii haitamsaidia Samia na badala yake anaenda kuanguka

Samia hatakiwi tena.

Njia pekee ambayo itamnyanyua Samia kutoka matopeni alikokwama ni kutupilia mbali mkataba huo


Bwana Mdude.

Kwanza kabisa, naomba nikiri kwamba nimekuwa na mtazamo tofauti sana na uhasi mkubwa sana kwako. Hatahivyo ieleweke tofauti hizo hazipunguzi Upendo uliokua nao au niliokua nao pamoja na matamanio ya Nchi yetu(sote)....sasa

Kama itakupendeza tuweke tofauti zetu/ naweka tofauti zangu kando kwa sasa, ili tuweze kuliokoa/na kulishauri na kukemea taifa letu kutoka kwenye makucha ya ukoloni mamboleo na maharamia yanayonyemelea Taifa letu 'sote' na kurejesha imani inayoonekana kutoweka kutoka kwa wananchi katika serikali yao.

Tofauti zangu na zako hazipaswi kuwa msingi wa kushindwa kuungana katika kipindi hiki na katika wakati huu mgumu na uliojaa sintofahamu na wasiwasi wakati nchi inatafuta suluhisho na njia ya kusonga mbele kutoka kwenye suala hili na kutoa Msimamo/misimamo wenye/ yenye nguvu ya Umoja.

Baada ya maneno machache, niruhusu pia kukupa kongole/maua/like/asante kwa Mfano au mifano nzuri iliyo na hekima na busara, kwa wahusika, hakika sikutarajia.

Ni matumaini yangu Rais Amiri Jeshi Mkuu Chifu Bi. Dkt. amepata huo ujumbe mzito ulio ndani ya mtazamo wako na kupitia mfano ulioutoa, kutafakari na kujitathmini kwani kuna ushauri mzuri kwake na kwa serikali yake.

Kwa hayo, Ninaunga mkono Hoja.
Watupilie mbali Mkataba

Niongeze tu Waanze upya na kutoa kipaumbele kwa Watanzania Nchini.

Watanzania Tunaweza.

Aluta Continua.
 
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
 
Mafisadi, wapigaji, matapeli wa kidini na kikabila bado hamjakata tamaa tu?
Tulieni inchi inaenda kupaa hii kwa maendeleo, ndani ya miaka kumi tutakuwa zaidi juu kuliko yeyote east Africa,
Kunya land na mawakala wenu mpoooo?

Imeisha hiyoooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…