Rais Samia anatumia mbinu zilizomuangusha Joyce Banda Malawi, na yeye anaweza kuanguka 2025

Kuhusu Samia kuanguka 2025 mkuu ni Jambo gumu

bila shaka ata maliza mda wake hasa tukiangalia mfumo wa tume yetu ya uchaguzi si huru saana

Na kingine utamaduni wa ccm na namna Wana vyo wafahamu watanzania na udhaifu wao na jinsi wanavyo weza kuutumia udhaifu huo kufanikiha kuchukua madaraka au kushinda chaguzi si rahisi Samia kushindwa 2025

Nwaeza kusema Lina wezekana kwenye inchi yoyote lakini sio Tanzania yetu mkuu
 
Naitunza hii risiti
 
Haya na mengne yatakuja baada ya Dp world kuanza kazi kodi mtalipa tu hkuna tena janja janja mlizozoea
 
Joyce Banda licha ya ufisadi wake binafsi na kutaka kutumia ugomvi wa lake Nyasa kama turufu yake, Malawi kulikuwa na vyama na wagombea imara wa upinzani.
Hapa Tanzania kwa system hii na vyama kama UDP na Tadea sioni wa kumuangusha Samia kama CCM watampitisha.
 
Naogopa sana watanganyika mnaenda kuipoteza nchi yenu

Mnajua kitu kimoja waarabu ni watu wa fujo na kusababisha machafuko kwenye nchi za watu

Wataharibu nchi yenu walete wapiganaji ili wamiliki ardhi yenu watangaze kuwa jamuhuri ya kiarabu
Waambie ukweli Hawa mapimbi hawaelewi kitu kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…