Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
Jamani kama mtu anafanya vizuri kwanini tusimpongeze?
Binafsi bado sijapata ajira ya serikali lakini nina matumaini makubwa kuwa Mambo yatarudi kama zamani.
Sasa hivi ajira zinatangazwa utumishi, halmashauri mbalimbali n.k. hii itasaidia kupunguza ugumu wa maisha kwani mzunguko wa pesa utakuwa mkubwa.
Ni suala la muda tu kile kipindi kigumu tulichopitia kitakuwa historia kwa uwezo wake muumba.