Rais Samia anaupiga mwingi Sana katika suala la ajira na Mambo mengine

Ahmed Saidi

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2019
Posts
1,588
Reaction score
3,487
Jamani kama mtu anafanya vizuri kwanini tusimpongeze?
Binafsi bado sijapata ajira ya serikali lakini nina matumaini makubwa kuwa Mambo yatarudi kama zamani.
Sasa hivi ajira zinatangazwa utumishi, halmashauri mbalimbali n.k. hii itasaidia kupunguza ugumu wa maisha kwani mzunguko wa pesa utakuwa mkubwa.
Ni suala la muda tu kile kipindi kigumu tulichopitia kitakuwa historia kwa uwezo wake muumba.
 

Nenda uko,mnataka watoto wa kitanzania waishi kama mashetani Samia hayupo hivyo
 
Naona jamaa unateseka kinyama.....Kuna kiongozi alikuwa anatoa ajira kama kikwete??na mambo yalikuwa yanaenda plus watumishi hewa.
 
Hamna ulichoongea ndugu hapa
 
Roho mbaya kama za yule mshamba alietaka hadi kuajiri wafungwa
 
Naona jamaa unateseka kinyama.....Kuna kiongozi alikuwa anatoa ajira kama kikwete??na mambo yalikuwa yanaenda plus watumishi hewa.
Yaani Kuna kipindi watu wameishi Kama mizimu, kila unachofanya ni majanga alaf mtu anasema Nini Nini, hawa watu sijui wanaroho gani.
Dah, wangeleta hii ningefanya makosa ili nifungwe then nipate ajira
 
RAIS SAMIA ANAENDELEA KUUPIGA MWINGI HUKO
 
Endele kuomba sehemu mbalimbali na uwe na subra
 
Kweli tumezoea mediocrity....., Hizo Ajira kwa mamilioni ya watu ndio kujitahidi ? Hio ni percent ngapi ?

Uliza mababu zako kuna kipindi walikuwa wakitoka shule tu kuna ajira za kumwaga ni mwendo wa kuchagua nichukue ipi niache ipi..., lakini kwa sasa hawa wanasiasa wameshajivua hio kazi na kumwachia mwananchi mwenyewe apambane na hali yake wao kazi yao ni kuvuna wasikopanda....
 
Maisha yanabadilika, kulingana na hali ilivyokua Mh. Samia anajitahidi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…