Ni kwaida mwindaji akifanikiwa katika windo lake husifiwa.Dah anamsifia Masauni kwa kufanya kazi nzuri mambo ya ndani!!!
Ni kweli wanaweza kusema achukue aliyeshika nafasi ya pili.Halafu hii imekaaje kumpendekeza mgombea kabla hata uchaguzi haujatangazwa? Je, WHO wakighaili kufanya uchaguzi?
Yani huyu mama anachowaza ni uchaguzi tu. Ndio maana anagawa pikipiki za kampeni SSH 2025; ilihali hata mimi nina mpango wa kuchukua fomu ndani ya chama
Useless. SI ajabu hata sio yeye anahusika na kupanga .Kama rais anamuuliza waziri nimekupeleka wizara gani? Sisi raia je, tutakumbuka kweli?
Dah hii inchiKama rais anamuuliza waziri nimekupeleka wizara gani? Sisi raia je, tutakumbuka kweli?
Usitangulize KushindwaJanabi atashindwa kura.Eti wanamuandaa akagombee WHO Africa.Hana ile attirance ya watu wampigie kura Ninamuona hayupo Humble.Ila bora wapeleke jina wajue feeling ya kushindwa pia.
Ukizingatia alikuwa ni mteule hata ofisi hajakabidhiwa. Labda tungepata mwongozo kutoka WHO.Ni kweli wanaweza kusema achukue aliyeshika nafasi ya pili.
Pesa za watanganyika lakini za Zanzibar hawagusiVijembe Zanzibar ndio salama sasahv Ila hii serikali wanatumia pesa hovyo sana
Pesa hazimuumi sababu mshahara wake haukatwi kodiYaani untumia gharama kujaza viongozi wote wakuu kwa ajili ya hafla fupi tu ya uapisho. Hawa ni watu waliojiweka madarakani na wana uhakika wananchi hawawezi kuwawajibisha. Hawana uchungu hata kidogo na kodi zetu. Wakitoka hapo wanaenda kusaidiwa kujenga matundu ya vyoo na wahisani wakati matundu kibao ya vyoo mashuleni yangepatikana kwenye hafla kama hizi zisizo na tija yeyote
Labda alitumwa akatekelezaRais amesikika akidai ya kwamba aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Masauni Yusuf ameacha alama. Ni kipindi Cha Waziri Masauni kundi la watu kutekwa na kupotezwa limeshika kasi, mpaka kupelekea wananchi kujihami.
Rais Samiah wa Tanzania amekuwa anatoa kauli za kejeli . Ni kama ana dharau Sana. Kwa mfano aliwahi kutoa kauli ya kwamba katiba ni kijitabu tu. Kwa maana nyingine Katiba so Jambo la maana. Pia amewahi kunukuliwa akidai ya kwamba kifo ni kifo hakuna kifo kibaya zaidi ya kingine. Alisema maneno kama njia ya kuonesha ya kwamba kifo Cha kada wa CHADEMA Ally Kibao sio Jambo zito Sana.
Leo wakati akiapisha mawaziri , Rais amesikika akidai ya kwamba aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Masauni Yusuf ameacha alama. Ni kipindi Cha Waziri Masauni kundi la watu kutekwa na kupotezwa limeshika kasi, mpaka kupelekea wananchi kujihami. Juzi tu hapa mfanyakazi wa TRA kauawa kisa hofu ya watu wasio julikana. Wananchi kutoamini vyombo vya Usalama ni ushahidi tosha ya kwamba Waziri wa Mambo ya Ndani alipwaya.
Rais kuanza kumpa sifa za kinafiki ni kukejeli hali halisi ya Usalama nchini. Rais aache mashindano yupo pale kuwatumikia wananchi na Sio kuwakejeli. Ipo siku kejeli zake zitamtokea puani.